Hai: Nyumba ya mwenyekiti wa CCM yachomwa moto

Ripoti ya moto imetolewa na Zimamoto na uokoaji au ndiyo mambo ya "Alisema, akasema, kasema"?.

Naona tunatoa sababu baada ya kupiga ramli, shenzi askari kafanyeni uchunguzi.
 
Watanzania wenye MAPENZI ya KWELI na NCHI yao wanawaona na kuwatambua kuwa KIKUBWA kwenu wapinzani ni MADARAKA ili muweze kukamilisha MALENGO na AGENDA zenu BINAFSI..... kila mwenye akili anawaona MNAVYO SHANGILIA na KUSHABIKIA MABALAA yanayotokea ... tukianza na TETEMEKO, NJAA ya Chakula, MCC, KIBITI, na SASA HAI.... kikubwa na muhimu MTASHINDWA kama MNAVYOSHINDWA siku zote..
 
Amani ambayo ingeletwa kwa busara tu na umakini wa viongozi, sasa itatakiwa kulindwa kwa Polisi na risasi za moto
 
Kuna tetesi kuwa Usiku wa Kuamkia leo tar.19 Juni, 2017 watu wasiojulikana Wamechoka Nyumba ya Mkuu wa Wilaya Hai huko Kilimanjaro.

Nasikia mkuu wa Wilaya kaumia Mguu na Kukimbizwa Hospitali.

Taarifa zaidi Zitafuata.
 
Wafuasi wa Chadema ndiyo wahusika baada ya Mkuu wa Wilaya kuharibu shamba la Freeman Mbowe!!
 
Hayo ni matokeo halisi ya chuki ya kisiasa inayolelewa na mh.rais
 
Back
Top Bottom