Hai: Msako wa DC Ole Sabaya wamnasa Mfanyabiashara Alex Elibariki Swai, atuhumiwa kufanya biashara kinyume na Sheria

Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Maafisa kutoka Halmashauri kufanya operesheni maalum iliyopelekea kunaswa kwa shehena (Godown) lililokuwa likitumika kuhifadhi vileo feki na bidhaa zingine zikiwemo shehena za mbolea na saruji bila kuwa na vibali halali.

Msako huo uliofanyika kwa kushtukiza usiku wa manane umemnasa Alex Elibariki Swai na Mkewe wanaofanya biashara hizo bila kulipa kodi, huku stika maalum za TRA zikigundulika baadhi kutokuwa halali na zile halali kuwa katika bidhaa tofauti na zilizoidhinishwa awali na Mamlaka.

Wafanyabiashara hao ambao pia walikutwa na lita nyingi za Diesel kinyume na sheria pamoja na fedha kiasi kikubwa ndani wamekabidhiwa kwa vyombo vya dola huku DC Sabaya akiagiza kulindwa kwa eneo lote hilo hadi Mamlaka husika zitakapomaliza shughuli zake na kubainisha taarifa zote za muhimu kwa ajili ya hatua zaidi.

Jambazi kubwa hili, liozee jela sasa
 
Imaging leo hawa ndio wanamuita na kmtuhumu Sabaya kuwa jambazi...na yule mama anaona sawa..shaime
Shaime=shame.
Imaging=imagine

Kama Sabaya hahusikinna haya basi mahakama itantebdea haki, Sasa wewe unataka mama aingilie mahakama?? Mama anafanya sheria. Sabaya kama anasingiziwa hii ndo njia sahihi ya kumsafisha.

UNAJUA HAWA VIONGOZI WA AINA YA SABAYA NA GAMBO WALKUA WANAFANYA MAMBO MABAYA MENGI SANA YA KUUMIZA WANANCHI KIUCHUMI, HALAFU KUFUNIKA USHETANI WAO WANATAFUTA JAMBO MOJA LA HERRI WANALIFANYA MBELE YA MACAMERA ILI WAONEKANE WEMA. LAKINI NI WASIMAMIZI WA DHULMA
 
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Maafisa kutoka Halmashauri kufanya operesheni maalum iliyopelekea kunaswa kwa shehena (Godown) lililokuwa likitumika kuhifadhi vileo feki na bidhaa zingine zikiwemo shehena za mbolea na saruji bila kuwa na vibali halali.

Msako huo uliofanyika kwa kushtukiza usiku wa manane umemnasa Alex Elibariki Swai na Mkewe wanaofanya biashara hizo bila kulipa kodi, huku stika maalum za TRA zikigundulika baadhi kutokuwa halali na zile halali kuwa katika bidhaa tofauti na zilizoidhinishwa awali na Mamlaka.

Wafanyabiashara hao ambao pia walikutwa na lita nyingi za Diesel kinyume na sheria pamoja na fedha kiasi kikubwa ndani wamekabidhiwa kwa vyombo vya dola huku DC Sabaya akiagiza kulindwa kwa eneo lote hilo hadi Mamlaka husika zitakapomaliza shughuli zake na kubainisha taarifa zote za muhimu kwa ajili ya hatua zaidi.

Hili alilofanya Sabaya kwa Alex Swai amekiri Mahakamani kwamba ulikuwa uongo wa kumsingizia Swai na ameomba radhi .
 
Kasafishe choo huko ufipa ndio maana UTI haiwaishi.. Kutwa unashinda humu kuleta umbea tu.
 
Back
Top Bottom