Hai: CHADEMA kurudia tena mkutano baada ya jana kukosa watu

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Baada ya mkutano wa Jana wa mh mbowe kukosa watu wameamua kuurudia Leo Ili tu wafute aibu ya jana kwa baadh ya wanachama kusafiri kutoka sehemu zingine kwenda kuupa nguvu mkutano wa Chadema Leo mtaona jinsi watakavyo upamba pia editing zitakuwa nyingi Sana

Pia napenda kuwashauri Chadema Waache ujinga wafanya siasa ya kichama sio ya Chuki Jana mkutano mzima wa Mbowe alikuwa anaiongelea CCM, hivi muda wote aliokaa bila kwenda kwenye jimbo lake alishindwa hata kuwaambia kwamba atawafanyia nini au kuwauliza Kuna kero gani au mimi nimuulize watu wa Hai Mbowe kawafanyia nini wananchi wake au jimboni kwake atawaambia nini watu ili wampigie kura au atawaambia wanatakiwa wapate tume huru.
 
watu wa kijani utawajua tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mbunge yoyote aliyefanya lolote katika jimbo lake tusidanganyane.....mambo yote yanafanywa na serikali!
 
Nilidhani ningepata points tafakarishi, nimepoteza dakika ya bure kusoma kitu ambacho hakina mantiki
 
Sijawahi kujuta kuharibu mboni za macho yangu kama kitu hiki nilichokisoma. Mtoa mada hakuna chama kinachobebwa na polisi kama chama changu cha mapinduzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkutano wajana nikweli ulikosa Watu bado natafakari nikwanini mkutano wa Mbowe ukose Watu.
Lakini Watu huwa wanazoea mambo na wanachoka mwisho Wa Siku.
CDM jimbo la hai waangalie namna ya kuhamasisha watu waweze kuhudhuria mikutano Kama maeneo Mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…