abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Baada ya mkutano wa Jana wa mh mbowe kukosa watu wameamua kuurudia Leo Ili tu wafute aibu ya jana kwa baadh ya wanachama kusafiri kutoka sehemu zingine kwenda kuupa nguvu mkutano wa Chadema Leo mtaona jinsi watakavyo upamba pia editing zitakuwa nyingi Sana
Pia napenda kuwashauri Chadema Waache ujinga wafanya siasa ya kichama sio ya Chuki Jana mkutano mzima wa Mbowe alikuwa anaiongelea CCM, hivi muda wote aliokaa bila kwenda kwenye jimbo lake alishindwa hata kuwaambia kwamba atawafanyia nini au kuwauliza Kuna kero gani au mimi nimuulize watu wa Hai Mbowe kawafanyia nini wananchi wake au jimboni kwake atawaambia nini watu ili wampigie kura au atawaambia wanatakiwa wapate tume huru.