Hai: CHADEMA kurudia tena mkutano baada ya jana kukosa watu

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
962
1,000
Baada ya mkutano wa Jana wa mh mbowe kukosa watu wameamua kuurudia Leo Ili tu wafute aibu ya jana kwa baadh ya wanachama kusafiri kutoka sehemu zingine kwenda kuupa nguvu mkutano wa Chadema Leo mtaona jinsi watakavyo upamba pia editing zitakuwa nyingi Sana

Pia napenda kuwashauri Chadema Waache ujinga wafanya siasa ya kichama sio ya Chuki Jana mkutano mzima wa Mbowe alikuwa anaiongelea CCM, hivi muda wote aliokaa bila kwenda kwenye jimbo lake alishindwa hata kuwaambia kwamba atawafanyia nini au kuwauliza Kuna kero gani au mimi nimuulize watu wa Hai Mbowe kawafanyia nini wananchi wake au jimboni kwake atawaambia nini watu ili wampigie kura au atawaambia wanatakiwa wapate tume huru.
 
Simbamteme

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
553
1,000
Baada ya mkutano wa Jana wa mh mbowe kukosa watu wameamua kuurudia Leo Ili tu wafute aibu ya jana kwa baadh ya wanachama kusafir kutoka sehem zingine kwenda kuupa nguvu mkutano wa chadema Leo mtaona jins watakavyo upamba pia editing zitakua nyingi Sana

Pia napenda kuwashaur chadema Waache ujinga wafanya siasa ya kichama sio ya Chuki Jana mkutano mzima wa mbowe alikua anaiongelea ccm ivi muda wote alio kaa bila kwenda kwenye jimbo lake alishindwa hata kuwaambia kwamba atawafanyia nn au kuwauliza Kuna kero gani au mm nimuulize watu wa Hai Mboe kawafanyia nn wanachi wake au jimbon kwake atawaambia nn watu ili wampigie kura au atawaambia wanatakiwa wapate tume huru

Sent using Jamii Forums mobile app
watu wa kijani utawajua tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
29,184
2,000
Silaha za mwisho za CCM linapokuja suala la kuchukua dola!
tapatalk_1582962316900.jpeg
masoudkipanya_B9GSmqxjtws.jpeg
masoudkipanya_B9A_6OMDjZT.jpeg
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,217
2,000
Baada ya mkutano wa Jana wa mh mbowe kukosa watu wameamua kuurudia Leo Ili tu wafute aibu ya jana kwa baadh ya wanachama kusafir kutoka sehem zingine kwenda kuupa nguvu mkutano wa chadema Leo mtaona jins watakavyo upamba pia editing zitakua nyingi Sana

Pia napenda kuwashaur chadema Waache ujinga wafanya siasa ya kichama sio ya Chuki Jana mkutano mzima wa mbowe alikua anaiongelea ccm ivi muda wote alio kaa bila kwenda kwenye jimbo lake alishindwa hata kuwaambia kwamba atawafanyia nn au kuwauliza Kuna kero gani au mm nimuulize watu wa Hai Mboe kawafanyia nn wanachi wake au jimbon kwake atawaambia nn watu ili wampigie kura au atawaambia wanatakiwa wapate tume huru
Hakuna mbunge yoyote aliyefanya lolote katika jimbo lake tusidanganyane.....mambo yote yanafanywa na serikali!
 
fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
7,068
2,000
Baada ya mkutano wa Jana wa mh mbowe kukosa watu wameamua kuurudia Leo Ili tu wafute aibu ya jana kwa baadh ya wanachama kusafir kutoka sehem zingine kwenda kuupa nguvu mkutano wa chadema Leo mtaona jins watakavyo upamba pia editing zitakua nyingi Sana

Pia napenda kuwashaur chadema Waache ujinga wafanya siasa ya kichama sio ya Chuki Jana mkutano mzima wa mbowe alikua anaiongelea ccm ivi muda wote alio kaa bila kwenda kwenye jimbo lake alishindwa hata kuwaambia kwamba atawafanyia nn au kuwauliza Kuna kero gani au mm nimuulize watu wa Hai Mboe kawafanyia nn wanachi wake au jimbon kwake atawaambia nn watu ili wampigie kura au atawaambia wanatakiwa wapate tume huru
Nilidhani ningepata points tafakarishi, nimepoteza dakika ya bure kusoma kitu ambacho hakina mantiki
 
Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
939
1,000
Baada ya mkutano wa Jana wa mh mbowe kukosa watu wameamua kuurudia Leo Ili tu wafute aibu ya jana kwa baadh ya wanachama kusafiri kutoka sehemu zingine kwenda kuupa nguvu mkutano wa Chadema Leo mtaona jinsi watakavyo upamba pia editing zitakuwa nyingi Sana

Pia napenda kuwashauri Chadema Waache ujinga wafanya siasa ya kichama sio ya Chuki Jana mkutano mzima wa Mbowe alikuwa anaiongelea CCM, hivi muda wote aliokaa bila kwenda kwenye jimbo lake alishindwa hata kuwaambia kwamba atawafanyia nini au kuwauliza Kuna kero gani au mimi nimuulize watu wa Hai Mbowe kawafanyia nini wananchi wake au jimboni kwake atawaambia nini watu ili wampigie kura au atawaambia wanatakiwa wapate tume huru.
Sijawahi kujuta kuharibu mboni za macho yangu kama kitu hiki nilichokisoma. Mtoa mada hakuna chama kinachobebwa na polisi kama chama changu cha mapinduzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dindilichuma

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,330
2,000
Baada ya mkutano wa Jana wa mh mbowe kukosa watu wameamua kuurudia Leo Ili tu wafute aibu ya jana kwa baadh ya wanachama kusafiri kutoka sehemu zingine kwenda kuupa nguvu mkutano wa Chadema Leo mtaona jinsi watakavyo upamba pia editing zitakuwa nyingi Sana

Pia napenda kuwashauri Chadema Waache ujinga wafanya siasa ya kichama sio ya Chuki Jana mkutano mzima wa Mbowe alikuwa anaiongelea CCM, hivi muda wote aliokaa bila kwenda kwenye jimbo lake alishindwa hata kuwaambia kwamba atawafanyia nini au kuwauliza Kuna kero gani au mimi nimuulize watu wa Hai Mbowe kawafanyia nini wananchi wake au jimboni kwake atawaambia nini watu ili wampigie kura au atawaambia wanatakiwa wapate tume huru.
Mkutano wajana nikweli ulikosa Watu bado natafakari nikwanini mkutano wa Mbowe ukose Watu.
Lakini Watu huwa wanazoea mambo na wanachoka mwisho Wa Siku.
CDM jimbo la hai waangalie namna ya kuhamasisha watu waweze kuhudhuria mikutano Kama maeneo Mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom