donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
[emoji23][emoji23][emoji23] kino mojaBado kaburi halijafanywa guest house[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kuna ugagula unafanyika...
Watoto mapema hawana uwoga na makaburi unadhani watakuja kua na uwoga na serikali yao...
bado kuchotwa mchanga wa kaburi.bado waganga hawajaja usiku kuogea hapo na kuvunja nazi... Kweri hamna kupumzika