torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,484
- 11,169
wakuu!
najua mpooo! wale tulio imbiwa kindumbwe ndumbwe chaaalia!
kindumbwe ndumbwe chaaalia!
kikojozi na nguo kaichoma moto huyoooo! ๐๐๐
nimekumbuka enzi hizo mtaalamu nilikua naachia kojo sana! mpaka nikawa najikataa, usiku ukifika sinywi maji wala cha juice lakin bado nilikua naliachia kojo
alafu sijui kulikua na maajabu gani wakati unalimimina kojo unajiskia rahaaa uku unasindikizwa na kandoto upo toilet unakojoa kumbe ndo unalilimina uku! hahahha
najua umu ndani wapo vikojozi wastaafu wa enzi hizo embu tukumbushane jinsi ilivokua inakuuma baada ya kuchakaza godoro la watu na kojo lako