hahahahahhahaa teh eh... duniani kuna vituko

..........Umekiokota wapi? bora ungemrudishia mwenyewe
 
E bwana hii kubwa kuliko, everything is possible in Africa
 
Halafu huyu jamaa anaonekana kama yule tapeli aliyetunga kitabu cha eti jinsi Kikwete anavyomuenzi Mwalimu Nyerere aitwaye Mutoka. Toka hapa Mutoka. Wewe hufai kabisa hata kama ni njaa umeshindwa jinsi ya kupambana nayo hadi ujivue nguo.
 
waafriika tunapenda chai/uji hehehehe
 
jamani kuna mtu nimeona kitambulisho chake, anaitwa Yuda Iskareoti
 
ingependeza zaidi kama angepiga picha na redio mkulima....
 
Msicheke kijijini hakuna photo studio,hiyo picha ni mzungu kampiga ndiyo ikabidi aitumie
 
jamani kuna mtu nimeona kitambulisho chake, anaitwa Yuda Iskareoti

mwingine niliona anaitwa osama bin laden shaban,nikasema uyu akienda kuomba visa lazima watamfatilia tena alikuwa na ndevu kama osama wa ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…