Hahahahahahha! hii funga mwaka

Hahahahahahha! hii funga mwaka

Hivi huyu "SPONSOR" anayezungumziwa hapa ni yupi? Coz navyojua msamiati wa sponsor una maana ya mbili cku hizi...especially kwa kina dada!!!!
 
utakuwa umemwelewa vibaya labda;
Angalia maisha anayoishi yy na linganisha na jinsi ulivyokuwa unatinga kwake, pengine unaonekana una maisha ya juu sana wakati anayeku-sponsor anajibana maximally ili tu uweze kusoma. Shukuru Mungu unaye sponsor na anaendelea kukujali, wengi wamekosa nafasi hizi. Simu ya sh 50000 nayo haikufai kwa pesa ya sponsor, utakapoanza kazi utamheshimu sana huyo mtu
 
Hata hii simu uliotumia kuingia nayo hapa jf hukutakiwa kuwa nayo, inaonekana ni sehemu ya ufadhili wa hela yake umetumia kununulia.
 
Anakufundisha kuwa responsible na pesa ambayo yeye ameitolea jasho.
Nidhamu ya pesa na vipaumbele ni tatizo la watanzania wengi, na ndio maana mawaziri wanaahirisha safari wasipopata 1st class ticket.

damn strait waziri ana haki ya kusafiri first class bwana...kuna sehemu nyingi sana za kusave money sio eti kusafiri first class....sasa kabaja nani mzabzab yupo economy na waziri nae yupo economy sii nitamuona ----- tuu.
 
Anakufundisha kuwa responsible na pesa ambayo yeye ameitolea jasho.
Nidhamu ya pesa na vipaumbele ni tatizo la watanzania wengi, na ndio maana mawaziri wanaahirisha safari wasipopata 1st class ticket.

mnhhhh where have u been?
 
damn strait waziri ana haki ya kusafiri first class bwana...kuna sehemu nyingi sana za kusave money sio eti kusafiri first class....sasa kabaja nani mzabzab yupo economy na waziri nae yupo economy sii nitamuona ----- tuu.

Mwaka juzi nilisafiri na Qatar airways tulikua na barozi wa sweden Tanzanja economy class!! Jiulize sasa wewe unaetaka waziri apande first class wakati hao wenye kuchangia budget yetu wapi sogea tukae!
 
Mhhhh! Mapenzi mengine banaaa shida tupu!!!! Kwa maana nyingine labda usioge, hata kutia wanja kidogo na kutengeneza nywele zako zikapendeza ukatupia mwilini gauni zuri safi limepigwa pasi na perfume ya haja na mchuchumio wa nguvu hata ukifika kwa MUPENZI anajidai dah!!! Toto langu leo limependeza sana, lakini anataka uwe nyuku nyuku kisa njembas nyingine zisikusarandie!!!! Kazi unayo!!! Pole zako weee....kweli umaskini nomaaaa tena ni nomaa sanaaaa

sponsor wangu hataki nipendeze wala niwe na kitu chochote kizuri et kisa ananilipia ada alafu u can imagine am taking my second degree yaan nikienda kuonana naye naendaje rafu sitakiw kuwa hata na simu inayozidi elfu 50.... yaan sijui nifanyaje umaskin nomaaah
 
Last edited by a moderator:
Mwaka juzi nilisafiri na Qatar airways tulikua na barozi wa sweden Tanzanja economy class!! Jiulize sasa wewe unaetaka waziri apande first class wakati hao wenye kuchangia budget yetu wapi sogea tukae!

kha!! huyo nae kajidharaulisha...kwanza mie ningempiga chini kuwa balozi.
am in a country where a president flys in a private jet the least a minister can get is first class.
trust me there is nothing wrong with minister travelling first class if he delivers...sasa tatizo watu wanasafiri first class alafu wanambwela.

alafu wewe nae acha kujidanganya hao wadhungu hamna cha donor wala nini...wapo kibiashara zaidi. there is a saying in the bible " man has dominated man to his injury" sasa kaka wewe wataka kujidanganya kuwa hawa wanatutawala kwa faida yetu sisi then u need to wake up
 
sponsor wangu hataki nipendeze wala niwe na kitu chochote kizuri et kisa ananilipia ada alafu u can imagine am taking my second degree yaan nikienda kuonana naye naendaje rafu sitakiw kuwa hata na simu inayozidi elfu 50.... yaan sijui nifanyaje umaskin nomaaah

Kama unaona anakuboa Mpige chini huyo sponsor wako.
 
Huyu binti hajielewi ila Ndio wasichana wengi walivo wanapenda kuonekana nje vzr wakati uwezo hauruhusu Kama huyo sponsor wako anasoma hii trend nauhakika atasimamisha huduma zake!! Binti pesa ngumu Sana hadi mtu anakuambia hivo ujue anahitaji uwe na nidhamu hata kwa pesa utakayoipata utakapo simama mwenyewe!
Huyo sponsor ana wivu wa kijinga. Kama umenipa pesa si juu yako kufuatilia naitumiaje.
 
kweli binadamu wa ajabu yaani mtu kakusaidia,bado anakufundisha maisha zawadi unayompa nikuja hapa kumkashfu hufai hata kidogo aibu yako,muogope Mungu wako na Mungu ambarik uyo mtu in Jesus name,we maskn unataka maiphone jisomeshe basi!
 
ama, sasa km unajiweza sponsor wa nini?ukikubali kuolewa usilale na chupi bwana, timiza masharti upate chako usepe.
 
Sponsor...shati 5000
:: .....suruali 10000
......boxer 2500
.....viatu 10000
......simu 35000
msiponsiwa...top 50000
...legging 25000
makeup sets 70000
:....viatu 100000
......simu 800000 etc...hapa ni yupi wa kumfadhili mwenzie?
 
sOcialiSm (coMuniSt) veRsus mBepAri (mkoLoni) nA utAnYooKa tu.... cHezeA mrUgAruGa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom