Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,328
mwizi acha atoe KALI mahakamani baada ya kusomewa mashitaka yake ya wizi wa SIMU akapewa nafasi ya kujitetea ikawa hivi,"Nilikuwa napita zangu nikasikia simu inaita NIBEBE NIBEBE UNICHUKUE NIBEBE MIKONONI MWAKO NIWE SALAMA! Ndo nikaichukua haraka"
"Hakimu akabaki HOI na kumwachia! Tafadhali akikisha milio ya simu aikuchongei kwa vibaka
"Hakimu akabaki HOI na kumwachia! Tafadhali akikisha milio ya simu aikuchongei kwa vibaka