Happy valentine madame b, lara1, zinduna, ciello bila kumsahau dismainda girl and all others jf members........................ Swali la msingi, hivi si unajua kila mwaka kuna valentine day, sasa hebu niambia kila mwaka unatoka na yuleyule au kila mwaka una valentine mwingine? Tafakari chukua hatua........ Happy valentine to jf founders