Hahahaa GAZETI BORA LA MWANANCHI

Kaseme maneno hayo mbele ya SLAA na MBOWE kama hujapigwa mawe na wana wa Redbrigade. Yaani nguvu yote ile ya M4C, Viongozi wote wa kitaifa kuzungukia kata zote kwa kambeni huku CCM wakisimama majukwaani wagombea wenyewe, mwisho wake wanaibuka na nyongeza ya viti 3 tu, Acha kabisa kuongea wewe, tathmini za kukuwa kisiasa huwa hazipimwi kichovu hivyo.
 

Nadhani watz tuna matatizo ya uelewa. Kama viti vyote vilikuwa chini ya CCM, halafu baada ya uchaguzi CCM wakapoteza viti vinne dhidi ya upinzani, ni nani aliyepata hasara? Ni nani amepata faida? Wewe huoni kuwa hiyo si dalili njema kwa CCM? Je, kuna ubaya gani basi kwa gazeti kuandika kuwa wamepoteza? Kwa taarifa yako, kama unadhani kuwa CCM WAMEWIKA, basi unakosea sana. Wapinzani ndio wame-gain ground.
 

Kawaida ya mifano ya IRON BOYS na ndivyo mtakavyoishia hivyo kwa kujifariji, Amkeni mdai na kujua Fedha zote zilizotumika kwenye M4C na Kampeni kama kweli matunda mliyotegemea ndiyo hayo siyo kupumbazwa na faraja za Kijinga huku Chama kikizama. Naamini CDM wangefamikiwa kupata viti 10 zaidi humu JF kusingekalika, sasa mambo yamekwenda ndivyo siyo badala ya kujitafakari mnakuja na faraja wakati wazi wazi mnaonekana machoni mkilengwa lengwa na machozi.
 

Kwa waandishi aw habari chadema kushinda ni habari kwa kuwa tayari CCM ni chama kikubwa..wao kushinda sio habari....
 
Kati ya CCM na CDM nani kapoteza? Hapa mtu hahitaji akili kujua nani kufiwa na nani watoto wamezaliwa kwake.
 

Hebu tusahau kidogo kuhusu ratio kati matokeo ya CCM na CDM kwa vile tunapoteza muda tu CDM wamechemka. Hivi nguvu yote ile M4C bado tunajadili na kupoteza muda humu JF. Let them die while they are moving.
 

Hayo maeneo ambako CCM imeshinda yalikuwa yanashikiliwa na chama gani kwanza jiulize na utafakari ndipo useme.Maeneo yote yalikuwa yanashikiliwa na CCM sasa kama upinzani wameweza hata kuchukua viti 4 au 5 kwa mtazamo wa kitaalamu CCM imepoteza. Na hii si dalili nzuri kwa chama chako ndugu,mmeanza kupoteza imani kwa wananchi.Mmmeanza kuchokwa jaman!!!!!!!
 

Magazeti yote hayawezi kuandika habari ya aina moja na yakapendwa!Mbona hujasema kuwa mwananchi haijasifu TLP na CUF kwa kupata viti!Kichwa kinauza gazeti na habari bora husomwa sana kama in kichwa kizuri!Kasome content utakuta viti 22 vya CCM!Lkn ni ukweli kuwa CCM imepoteza viti vinne!Ni maendeleo kwa upinzani lkn hayatoshi kuitia mashaka CCM kwanin kama mambo yataendelea kuwa hivi basi itashinda tena 2015!
 

kweli haya majamaa ni magamba
 
mtoa thread inaelekea hujui kabisa tasnia nzima au taaaluma ya habari ndio maana umeandika ukichoandika

katika tukio lote hili la uchaguzi, habari kubwa ya yenye uzito NI CCM kupoteza viti 4, tena kwa wapinzani wake wakuu. Wakati huohuo 'watani' wao hawajapoteza hata kiti kimoja na pengine margin ya kura imekuwa ndogo.This is really big thing, newsworthy. Na kwa CDM hayo ni mafanikio makubwa sana na wala hakuna sababu ya kukata tamaa.

katika hili Mwananchi wako right and very professional. Nawapongeza sana hasa timu ya wahariri waliokuja na heading or lead story yenye kichwa cha habari kama hicho

salute
 

Gain ground so what? Tunataka ujihakikishie ushindi 2015, sio ku-gain ground!
 
Nawapongeza sana makamanda naomba waongeze nguvu vijijini mikoa ya iringa,njombe,mbeya,rukwa,ruvuma. Maana nimeangalia matokeo kata ya usililo/makete ccm imepata kura 600 /40 cdm. Naomba M4C ishuke vijijini ikatoe elimu kwa wananchi wengi hawajui nini maana ya vyama vingi.
 

MOODS ndo nini kwanza..
 

wewe ulitaka waandikeje? style za kuandika ziko nyingi, mwananchi waliona waje kihivyo unawapangia? think big mkuu, ufaidike
 

ukiangalia gharama ndugu yangu utashindwa hata kuhudumia familia yako! angalia faida itokanayo na hiyo gharama. kwa siasa zetu za Africa kukishinda chama tawala kunahitaji gharama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…