Nitajie movie ambayo ulivyo angalia ulicheka kinouma mimi ni ile movie ya hangover wale washikaji walo lewa wakaiba tiger wa mike tyson wakifikiri ni mbwa na pia akajing'oa jino
Poa ngoja nitaanza na ya The dictator
pink panther na mr ibu uliyetaja ya majuto umenikumbusha siku nilikuwa natoka arusha ndani ya dar express wameweka movie ya majuto na jb inaitwa naenda mjini kumtafuta mwanangu ebwana nilicheka hadi machozi duu du hapana chezea majuto wewe hata kidogo