Hahaha, Diamond hapa utatokea wapi?

Hahaha, Diamond hapa utatokea wapi?

Kweli ushabiki ni mbaya hivi kuna nyimbo imehit Zaidi ya nan kama mama?
Hiv ni kweli mwana ni video bora?
Anachofanya diamond ni kuonyesha watu kua anaweza kuimba mziki wa aina yoyote kulingana na mashabiki wake.

Khaaakhaaaa khaaaa et nani kama mama !! Mbele ya mwana ebu Fanya uchunguzi
 
Atuna shida na tunzo za nyumbani team diamond sisi tunataka za mbele siyo hizi za bongo tusha zichoka
 
atapata tuzo ya TAARABU
Mnadharau Taarabu wakati imeshika namba 7 kwenye Top 10 za Beat FM Ya jijini Lagos!Na Diamond ameshawajulia ndio maana AMEKOMBA Mashabiki karibia asilimia 80% na 20%wengine wanagawana maana anaweza kufanya aina yoyote ya wimbo.
 
Wimbo bora wa mwaka: Je, kuna wimbo bora zaidi ya Mwana?

Wimbo bora wa Afro pop: Je, upi zaidi ya mwana? Au unataka uniambie ule mchiriku wa mdogomdogo kutoka kwa jirani yetu? Hahahaha..

Mtunzi bora wa mwaka: Je, kuna mtunzi bora zaidi ya King aliyetunga Mwana? Au unataka useme mtunzi bora ni yule aliyetunga taarab na Khadija Kopa? hahahhaha..

Collabo bora ya mwaka: Je, kuna collabo bora zaidi ya King na mwanaFA "Kiboko yangu"? Au unataka useme eti ile collabo ya jirani yetu na shetta? Ptuuuuu!

Video bora ya mwaka: Je, kuna video bora zaidi ya ile mwana kutoka kwa King? Au unataka useme video bora ni ile ya jirani yetu ya 'Ntampata wapi' aliyocopy script za video ya 2face?

Mtumbuizaji bora wa mwaka: Je, kuna mtumbuizaji bora hapa nchini zaidi ya King anayekuchapia show za live band kwa sauti halisi tamu, au unataka kusema eti mtumbuizaji bora ni yule jirani yetu anayetumia back vocal na kukata mauono hovyo kama Aisha mashauzi?

Muimbaji bora wa Kiume wa mwaka: Je, nani kama King ambaye amehit bila video na Mwana hadi sasa Chekecha, Au unataka kusema eti ni yule jirani yetu anayebebwa na video za Godfather ambazo anazitoa hata 4 kwa mwez alafu zinachuja zote kwa siku 3 tu? hahahhaha.

TUKUTANE BAADA YA SIKU 1, TUTAHESHIMIANA TU.

Hivi KTMA ndo kila kitu??
 
Utabiri wa muelekeo wa mziki wa bongofuleva kwa kifupi: Mwaka huu hautakuwa mzuri kwa diamond nchini na Africa kwa ujumla. Tuzo za nyumbani nyingi zitaelekea kwa kiba na dimpoz. Kuhusu mapenzi pia muzamiri katunzi anampango Wa kutinga hospitali kisibiria kichanga chake kabla hakijabemwndwa na baba Wa kambo dayamondi
 
Utabiri wa muelekeo wa mziki wa bongofuleva kwa kifupi: Mwaka huu hautakuwa mzuri kwa diamond nchini na Africa kwa ujumla. Tuzo za nyumbani nyingi zitaelekea kwa kiba na dimpoz. Kuhusu mapenzi pia muzamiri katunzi anampango Wa kutinga hospitali kisibiria kichanga chake kabla hakijabemwndwa na baba Wa kambo dayamondi

Duh huyo katunzi ni kama watu mlikuwepo kusaidia miguu ichanue au?
 
kwani miguu inachanuliwaga?

Hahaaa inabidi maana waliojua kwa madai yao ya wivu tendo lilitendeka na eti mimba akaingiza lazima walishikilia miguu ki hivi \-/ au /-\ huku macho yakiwatoka na kushabikia
 
Hahaaa inabidi maana waliojua kwa madai yao ya wivu tendo lilitendeka na eti mimba akaingiza lazima walishikilia miguu ki hivi \-/ au /-\ huku macho yakiwatoka na kushabikia

hicho kidash cha katikati ni nini?
 
Duh huyo katunzi ni kama watu mlikuwepo kusaidia miguu ichanue au?

tena laiti wangewaona hawa watu jinsi wanavyopendana wangeona hata aibu kusema eti mimba sio ya diamond,yaani wao wala hawajui na wala diamond hana pressure kwa maana tayari ameshajua kama ni mtoto.wake alivyopima DNA mzurimie wape pole hao wanaosema mimba ni katunzi.
 
Last edited by a moderator:
Nikiona mtu anajiita Team kiba mara Team Diamond namdharau sana na kumuweka kwenye kundi la watoto wanaobalehe maana ndo wanamhemko wa kijinga na ushabiki lakini kijana mtu anayejitambua hawezi kukaa anajiita eti Team kiba au Team diamond.
Wale ni vijana wetu wanafanya mziki tuwape nafasi na support sio kukaa tunawaponda .
 
Back
Top Bottom