Hahaha!! Cheki mbwembwe za Chinese buses!

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,370
3,956
1452759599210.jpg
1452759609726.jpg
Cheki kitu ina two classes ndani ya bus moja,nyuma 2*2,mbele 2*1.:D:p

Kazi kwenu sasa watu wa Mtwara gari ya kwenu hii....sijui wakifika motel(Nangurukuru) kupata lunch wanaenda kwa vyumba hivyohivyo
 
NI BASI LA KAMPUNI GANI?
LIMESHAANZA SAFARI AU BADO LIPO CHINA?
 
Upande huu wa dunia hata basi zuri gani liletwe, siku mbili kwanza limekatwa nyembe covers zote vibendera sponge zimeshanyofolewa, mitambo yote haifanyi kazi, madirisha hayafunguki, harufu chafu ya kutisha ndani, uchafu kila kona, mapazia hayashikiki, na mabaki ya vyakula na kila aina ya kadhia ndani.

Mabadiliko ya ustaarabu na usafi yaanzie katika ngazi ya mtu binafsi hata kama ni kuwekwa sheria basi iwekwe ya kuhakikisha kila mtu anajitunza na mazingira yake. La sivyo, bsi kama hili afadhali libaki kwenye picha tu!.
 
Nilikaa na mdada mmoja,yani dustbin liko pembeni yake lakini ananisumbua mm niko dirishani anarusha mifupa yake ya kuku na mabaki ya chips.
Ila wapo abiria fulani wa bus kadhaa wana ustaarabu wa juu.
 
Inahitaji mikakati halisi. Ustaarabu wa mtu hauanzii kwenye bus lakini basi linaweza kulazimisha ustaarabu.

1. Wafanyakazi wa basi wahakikishe basi ni safi kila siku kwa misingi ya cushions, curtains, handles, windows, body, carpets nk. vimesafishwa na kupigwa dawa za kuua wadudu kabla ya safari nyingine. Ama basi likisafishwa liachwe wazi kwa hewa safi na makapu ya takataka yawe masafi kama ndoo za maji ya kunywa wakati wote kabla abiria hawajapanda. Wkikuta hivyo, hata yule mchafu, ataangalia kulia na kushoto kabla hajafanya uchafu.

2. ugawaji wa vyakula ndani ya mabusi kama queens cakes na vingine ni lazima viendane na elimu ya usafi. kwamba ukimaliza usitupe mabaki ya kitafunwa chako ama kifungashio chako sakafuni. Waonyeshwe sehemu ya kutupia hivyo vitu.

3. Wahakikishe kuna mifuko kila wakati juu ya carrier au sehemu yoyote kwa ajli ya kutemea mate ama kutapika kwa mtu ambaye atakuwa na matatizo hayo ndani ya basi badala ya watu kutemea kweney mapazia ama chini ya viti sakafuni ama kwenye ukuta wa basi na kujifanya kupotezea. harufu inayojengwa humo haitahimiliki.

4. Wafanyanini sijui wa mabasi waache kukojolea madirishani. kuna watu huwa wanalala kwenye mabus mwisho wa safari kabla ya safari nyingine na watu hawa usiku wakibanwa mikojo wana renga dilishani. Gasi inaanza safari asubuhi inanuka mikojo isiyostahimilika.

5. Wakati wa kula chakula, ama chai, wenye gari wahakikishe wanakuwa na muda wa kutosha watu kujisaidia na kupata chakula kwenye hizo sehemu za chakula. Wahakikishe kwa hlai yoyote, wanazuia hata kama ni kwa faini mtu kununua chakula na kukaa kuanza kula ndani ya busi hata iweje. Harufu ya vyakula na majasho ya wasafiri ni uchafu unaoweza kufanya mtu atapike hadi mwisho. Wakti huo huo waache tabia ya kuwaambia watu kwa maneno kwamba hairuhusiwi kuingia na vyakula kwenye basi halafu baada ya dk 10 wanaanza kupiga honi basi linaondoka. They should be raealistic.

6. Wafanyakazi wa kwenye mabusi waonyeshe usafi na ustaarabu katika mili na mavazi yao wakati wote,, ikiwa ni pamoja na kuacha lugha za ovyo za kuwafrustrate passengers wakose values za chombo hicho.

7. Serikali iweke sheria za usafi na wazisimamie kama vile kuzidisha abiria ama kuover speed ili watu wa comply. Kwamba basi litakalokuwa na harufu ama mwonekano wa uchafu na tatkataka, li wajibishwe. Usafi ni tabia na watu wanaweza kubadilika.

Kinyume cha hapa, usishange mkuu kukuta mtu anakula mayai na samaki halafu anakutapikia na baada ye anachukua pazia kujifutia ksiah mikono baada ya kula hayo majitu anajifutia kwenye mikono ya kiti.

Habari za asubuhi lakini?
 
Ndio ni ushauri mzuri sana,hiyo namba 5 kipindi cha kipindupindu walikataza kulia kwenye mabasi ilikua lunch break ni nusu saa nikafikiri utaratibu utaendelea kumbe wapi!!

Za asubuhi nzuri kabisa,wewe vp huko?
 
Back
Top Bottom