hahah Vibuti vyengine bana!! (Single mwaka mzima)

hakuna mkuu.. halafu confidence ni kawaida tuu

ila yule binti ana wasiwasi na Kisirani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sjadharau na labda na mm ninayo raum lakini siezi kuiita ndinga mbele za watuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Me sikubali, kwa mdomo utasema hunadharau lakini kwa maandishi yako umetudharau sisi wenye vi-vitz vibovu
 
Hahahahahhahaha. Me nimekwambia wewe sawa tuuu ujumbe tumeupata ila na sisi tutafika huko kwenye miV8
 
No! Nlilokuwa nasema ni kwamba, kuna mdau amesema watu wengi wanayo magari kitu ambacho napingaaa tena kwa nguvu zote. Hata kama ni mikweche lakini sio wengi ambao wana magari hususan kutoka hapa JF. Kwani wewe ushakutana na watu wangapi wa hapa?? Trust me hali za watu humu ni mbaya
 
Kwa hiyo tusubiri mpaka tununue hayo ma-ndinga ndio tuje tuseme, right?? Au tuseme tu straight kwamba Mimi ninayo vitz mbovu mbovu
 
Hahahaahhh! Me mzima, za siku?? Hebu ninong'oneze je kama angekuwa hajampa bi mkubwa ungekimendea hako ka-iphone??
Nzuriii, In kunong'oneza voice...kama bado angekua na hako kasimu now ningekua pm na angekua tayari kashanipa mimi[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,mi sisusi vitu kama huyo rafiki akee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…