Hahaahah unasemaje kwa hii picha ?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,461
33,389
10403112_312303232290289_5970612809369449012_n.jpg
 
anafaa kuwa kiongozi wa mazungumzo yote ya mikwara ya kijeshi kama ya akina Kagame, akitokeza tu wananywea wote
 
Sijaelewa, hapo anacheka au analia? Lakini kwa madem hawaangalii hilo, ni pesa tu, ukute ana dem mkali kuliko miss neddy.
 
Hivi huyu mjeda anaweza kupiga mluzi kweli? Lakini ndio sawa sio unajiita mjeda halafu huna hata kovu moja.
 
yote tisa kumi akitaka kula chungwa atakamua kama anakuna nazi
 
Back
Top Bottom