Hahaaaa

Hahaaaa

TUMBOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
3,877
Reaction score
2,069
Kama ni wewe ungefanyaje apo???
 
Attachments

  • 1408637569369.jpg
    1408637569369.jpg
    15.5 KB · Views: 320
Hapo inaonisha siku zako za kuishi zimekwisha labda ni kudra ya mungu
 
Mie ningekufa kabla cjashuka chini
 
hapo ni kumyongelea mbali shingo ya huyo nyoka, ukimaliza waliobakia hawana ubavu wa kupanda kwenye mti, watasubiri wee mpaka watajiondokea
 
Unajaa juu ya mti ata nyoka akuume afu wengne wasubiliege chini
 
hapo ni kumyongelea mbali shingo ya huyo nyoka, ukimaliza waliobakia hawana ubavu wa kupanda kwenye mti, watasubiri wee mpaka watajiondokea
hapo ni kudili tu na nyoka,unaweza kumkamata shingo unamnyonga ukishindwa unamrusha mbali,ila kazi ya mkono moja mwingine unabembea
 
Naye cjui alienda kutafta nn uko porini
 
Kama picha ya zamani au ni mpya siyo mada yake au siyo hoja yake na hayo ndo yapo kule kwenye mipasho ya kulepwa posho kama huna jibu ni bora kuwa kimya na ikupite tuuuu na hapo ni sawa na kiwengu tu
 
Bora umensaidia mkuu
 
Back
Top Bottom