Hafikishwi kileleni afanyeje?

Jamaa afanye mazoezi halafu kabla hamjafanya akuchezee sana kwenye k ili wewe ujisikie sana kabla yakunanii
 
Namaanisha kwamba.......kabla hujatumia kitu.......hakikisha kipo ktk ubora unaoutaka.........sio badae uje kulialia.......wakati muda wa kukifahamu vizuri ulikua nao.......
Sijui umenielewa........?

Si vitabu vitakatifu vimetuasa kutoikaribia zinaa mpaka tufunge ndoa mkuu?
 
sio too much...wanaume washakua michosho bwana wee GOOD SEX ndo inahitajika...sasa mtu kaolewa afu hapewi ndo manini sasa???kwamba kwao hakuna msosi???kitanda???tena utakuta kaacha vya ukweli kuliko hivo vya mme wake.

Unanikosha kunako roho..... Kwetu hatukukosa misosi atii!!
 
Si vitabu vitakatifu vimetuasa kutoikaribia zinaa mpaka tufunge ndoa mkuu?

Wakati huo watu walikuwa wanakula vyakula bora..........sasa hivi hizi chips mayai na burger.........lazima kushake well before use...........
 
Tatizo siku zote ni kufanya mapenzi kwa watu wengi, tena wenye maumbile tofauti tofauti.
Ushauri jitunzeni jamani.
 
tatizo papuchi yako inaonekana ni mtungi kabamia kake kanaelea elea hewan
 
Humpendi. Huna hisia naye. Hicho kimoja tena ndo cha kukufikisha juu siyo lazima urudie rudie.
 
Hujui mapenzi... Period
 

hapo dawa ni konyagi na red bull...Dada atakimbia na chupi mkononi
 
mada pendwa za wabongo daa,,, ila kama ni kweli vumilia ndio ndoa hiyo sio kila kitu kitakuwa sawa
 
Humpendi. Huna hisia naye. Hicho kimoja tena ndo cha kukufikisha juu siyo lazima urudie rudie.

dah! hahahaha, mwenzio anataka kurudia rudia wewe unasema kimoja kinatosha.
inaelekea hawa wanaingia uwanjani na kuanzisha rigwaride moja kwa moja. wenzao huanza kwa kukagua kama mstari umenyoka, mikanda imefungwa vizuri, buti ziko sawa, mashari yamechomekewa, kofia ipo sawa. baada ya kuhakikisha kila kitu kipo sawa ndio rigwaride linaanza. hapo hata bila kurudia mtu anatosheka...
 
Vijana wa kisasa hawajui hayo yote,
wao ni kurupu, dakika tano nyingi
halafu anasema kuwa hafiki juu.

Ukute na mdada mwenyewe analala tu hata
hatoi ushirikiano.

Waache watasikia hivyo vilele kwa wenzao tu.

 

Njooo pm utafika tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…