Wakuu. Hapa tulikuwa tunapata hadithi mbalimbali kutoka kwa mjeda na wenzake. Mbona siku hizi kimya. Where is mjeda? Where is mzizi mkavu? Na wale wengine mko wapi? Yale masimulizi ya tanga kule kwa waganga wa kenyeji, nitakufa Mara ya pili, mke wangu alinifanya niwe mchawi, mamo ya ntiba na mengineyo tumeyamisi sana. Where are u u people?