Hadithi za siku yawanake Duniani.

Hadithi za siku yawanake Duniani.

Mtanganyika1

Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
56
Reaction score
8
Mwanamke ametoka kwa ubavu wa mwanaume hakutoka katika unyayo ili adharauliwe na kukandamizwa, hakutoka katika kichwa cha mwanaume ajisifu eti yeye anakili sana, bali ametoka ubavuni ili akumbatiwe na alindwe tena ubavu wa kushoto ulio karibu na moyo ili apendwe ,aheshimiwe.Ila kwa kuwa ubavu umepinda mwanamke naye amepinda , asinyoshwe kwa nguvukwani atavunjika akanywe kwa upole naye atalainika.HAPO MPO WANAUME.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom