Mara nyingine huwa vinakuwepo pale TPH Samora Avenue.Hivi hizi hadithi zilikatazwa.. Kama jibu ni hapana, je wapi naweza pata vitabu vyake au audio zake.??
Umsolopagaz mwana wa Makedama mjukuu wa Chaka mkuu wa jeshi la Nkomabakosi...Hicho kitabu nnacho mm,mackienzie,wamo kina inkubu.umslopagaz mzee wa kizulu aliekuwa mlinzi na shoka lake linaitwa inkosi kazi.
Na Makumazani naye yupo humo?..Hicho kitabu nnacho mm,mackienzie,wamo kina inkubu.umslopagaz mzee wa kizulu aliekuwa mlinzi na shoka lake linaitwa inkosi kazi.
Naaam makumaazan yumo.Na Makumazani naye yupo humo?..