Hadithi ya Binti Chura Sehemu ya Pili
http://hadithihadithi.podomatic.com/entry/eg/2006-11-03T11_07_07-08_00
Asante sana kwa maana kweli zimetungumbusha enzi zetu. kwa wale walikuwa wanapenda kipindi cha mama na mwana.
lakini hizi ni vionjo tu maana hazijakamilika sasa mtu akitaka kupata nakala zote au full episode anafanyaje?
nifahamishe tafadhali.
Kwa wanao kumbuka enzi hizooo,
Hadithi ya Binti Chura Sehemu ya Kwanza
http://hadithihadithi.podomatic.com/player/web/2006-11-03T09_58_33-08_00
Vipi kuhusu ua jekundu mkuu?
nimekumbuka sana zile hadithi za adili na nduguze, nduguze kuwa manyani.
Sungura na Mama mwenye shamba
Karibuni tena katika kipindi chetu cha Hadithi Hadithi. Leo tumewatayarishia hadithi ya Sungura na Mama mwenye shamba.
Katika kabila la Kirimi, Sungura anatambulika kama mnyama mjanja na mwenye mbinu za kuweza kujitoa katika matatizo mbalimbali na wakati mwingine huweza kuwasaidia watu wenye matatizo kwa kutumia ujanja wake.
Hii ni moja ya hadithi tulizosimuliwa tukiwa watoto.
Kwa wanao kumbuka enzi hizooo,
Hadithi ya Binti Chura Sehemu ya Kwanza
http://hadithihadithi.podomatic.com/player/web/2006-11-03T09_58_33-08_00