Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Nakumbuka kwenye story yake nilisoma mahali amenunua Kitanda na Godoro akavipeleka kwa rafiki ,.baadae sikujua alivipeleka wapi,.nahisi kuna mahali nimeruka.
Itakua umeruka mkuu au ckuelezea vzr kuhusu hilo.

Asante sana kwa umakin wako kwenye huu uzi big up sana.
 
Me nili lelewa na wazaz ambao walikua busy na kusaka maisha, hawakua care sana na sisi.Kama mdogo wangu wa tano na wa sita ni kama hawajalelewa na Mama.Alikua busy sana kusafir na biashara zake.

Asante sana kwa kufuatilia story yangu Mkuu
Mkuu story yako ni nzuri,inatisha pia inachekesha sana kwa baadhi ya matukio ulofanya. Namna ya usimuliaji na matukio yako ya kibabe ndio imepelekea story izidi kuvutia kuifatilia mpaka mwisho.
Kuna FUNZO kubwa katika Story yako.

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Bonge moja la story nimesoma mbaka mwisho itoshe kusema big up sana na hongera kwa kubadirika tabia
 
Imetulia
 
Nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka.Hii familia baba,mama na wototo wote wazee wa matukio ila dogo lako hatari.Mkitengeza team mnaweza kuiba ata Benki Kuu hahaahaa
[emoji38][emoji38]
 
Hongera sana home boy kwa kusimulia maisha yako. Nimefatilia simulizi mwanzo mpaka mwisho, bahati nzuri nimeisoma ikiwa imefika tamati. Simulizi yako ni harisi kabsa haijatiwa chumvi wala ndimu, kuna code za kitaa umezitumia katika simuliz yako ambao wenyeji wa Musoma tunazifaham. Ulivyoelezea maisha ya visiwani yako hvyo hivyo, ni ngono, ujambazi(bahati nzuri kwako hukukutana nao ukiwa huko) pombe na maladhi yote ya ngono utayakuta huko.

Aisee simulizi yako kila kipande nilikua siachi kucheka mwenyewe..

Mwisho nimekumaind ulivyowapiga wasimbiti wenzangu tukio nami ntakutafte nikupige tukioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

BOY HAKIKISHA UMEUACHA WIZI, UTAPELI, NA UKIBAKA. Hakikisha sana tena sana unakaa mbali na hivyo vitu.
 
pamoja sana hommie, tupo pamoja now nime change sana me cyo yule mtu wa zamani kabisa.

Mungu ikua na mimi toka enzi mpk leo kanipa mwanamke makini sana nafurahi kwa hilo.

Pole sana kwa kuwapiga wasimbiti wenzako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ niko radhi unilipizie kisasi ila sio kikubwa sana πŸ˜‚πŸ˜‚ .

Na karbu sana Mkuu.
 
Hongera kwa kupata mke, nakumbuka mke wangu naye nilimpata kwa staili inayofanana.... Demu alileta bag akakomaa haondoki huku alisisitiza yeye ndio mke Mungu kanipa[emoji28], nikawa mkali nikampa mateso yote aliyashinda[emoji119]
Basi tupe na ww story yako ilikuwaje kuwaje mpka akawa mke kwa lazima. ukisjaandika tupe link hukuhuku kweny huu uzi tuisome

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
Unakipaji kikubwa Sana Cha uandishi tangu nimejiunga jf 2014 ni wewe tu ndio nimesoma story yako na ukafika mwisho tena simulizi ya kweli bila blah blah ...

Fanyia kazi huo uandishi usiache kipawa kipotee.
Yaani mm mwenyewe nilipokiwa nasoma nikajisemea moyoni, huyu mtu si tu MUNGU amempa kipawa cha mziki lakin ana kipawa cha UANDISHI mzuri, maana jinsi ulivyokuwa ukipangilia matukio, asiee nimependa sana, umejua kuzigusa hisia za watu na kuwashika hisia zao wapate kuendelea kukufuatilia sana kwa ukaribu.

Ni makosa madogo madogo ambayo nimeyaona kweny uandishi wake, kama kuweka nukta na koma, hivi ni vitu vidogo sana kweny uandishi lakin vina thamani sana. Yaani unakuta umeanza sentensi ghafla unajikuta umeshaanza kusimulia kitu kingine, kwahiyo ule mtiririko unapotea kwa ghafla, na hii si kwa sana umefanya lakin kama akipata shule nzuri yeyote ile iwe Youtube au mafundisho yoyote online au hata vitabu akienda bookshop yaan atakuwa ni mtu bora sana, anaweza akawa mtunzi mzuri sana hata akapata ajira ya kuandika makala mbalimbali kwenye magazeti.



Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru sana Mkuu wangu kwa ushauri mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…