Hadithi ya kweli ya maisha yangu

[emoji23][emoji23] walikua hawana namba ya nida na sio hao tu kuna kadogo kengine kalijileta na buku jero cku hyo hyo eti nikasajilie line.Hyo buku jero niliiweka halo pesa nikaunga kifurushi cha mega bando.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23] walikua hawana namba ya nida na sio hao tu kuna kadogo kengine kalijileta na buku jero cku hyo hyo eti nikasajilie line.Hyo buku jero niliiweka halo pesa nikaunga kifurushi cha mega bando.
Hivi yule manzi wa kisiwani uliyekua unapiga kwa mkopo iliishia wapi!
 

Msajili line
 
Hongera kwa kupata mke, nakumbuka mke wangu naye nilimpata kwa staili inayofanana.... Demu alileta bag akakomaa haondoki huku alisisitiza yeye ndio mke Mungu kanipa[emoji28], nikawa mkali nikampa mateso yote aliyashinda[emoji119]
Duh upo nae mpaka sasa
 
Ngoja nianze kusoma sasa,
Ndio nauona huu uzi sasa
 
Mbona kama kule Nyuma, ulisema utakuja kumuuelezea huko mbele.?

Au ulishamuelezea mimi ndio nimesahau?
Maana matukio ni mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio huyo ambae alielezea kua yeye Holy alimpa huyo manzi godoro lake ambalo alinunua aanze life lake, lakini badae uyo manzi akawa ana mambo ya kiwaki holy akamwambia kua anaenda fata godoro lake manzi akasema njoo fata kimalika chako ..... holy akafata manzi alijua utani ................
 
Sawa sawa nimeipata.

Nilivyosoma mara ya kwanza sikujua kama ni yeye.
Ukizingatia kule kisiwani alikuwa Muuzaji halafu kaja tena kusoma Chuoni.
Sikufikiria kama ni yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa walipigwa msibani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

nahis hao ni wanaume wa kinondon chips unatuma uletewe
 
jamaa walipigwa msibani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

nahis hao ni wanaume wa kinondon chips unatuma uletewe
Kuna watu waliwadanganya kwamba ukienda mkoa unaweza kumpa mtu milioni akutunzie bila kuandikishiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…