[emoji3][emoji3] hapa hatuko huko kwa matajiri
Sasa best mie siongelei kudeka...point yangu ndo hiyo naingelea mwanaume anayejidekeza kwa mkewe...unajidekezaje sasa na majukumu ndo haya hapa mbele yetu..ww hata kutatua vichangamoto vyepesi huwez..lolMwanamke anayedeka kipindi cha uchumba,boyfriend/girlfriend sawa,ila mkisha ingia kwenye majukumu ya ndoa/kulea mwanamke asiyeumiza kichwa anachosha sana. Hata kama mwanaume una pesa ya kutosha,kuwa na mwanamke kila kitu anatafuniwa inaboa sana.
Na ukimulazimisha kubadili balb anapanda meza ya kioo inapasuka mpaka na balbu aliyoshika.Umepita mle mle..hata kubadili bulb ishu...argghh..mie ni mama[emoji3059] shukrani mkuu
🤣🤣🤣🤣Na ukimulazimisha kubadili balb anapanda meza ya kioo inapasuka mpaka na balbu aliyoshika.
Sema dada yangu,hizo sindano zako zinauma sana japo zinaponya,,,,,,ukweli unaouma wanaume tunajilegeza sanaSasa best mie siongelei kudeka...point yangu ndo hiyo naingelea mwanaume anayejidekeza kwa mkewe...unajidekezaje sasa na majukumu ndo haya hapa mbele yetu..ww hata kutatua vichangamoto vyepesi huwez..lol
Kuna mshikaji ana kampuni ya c&f dar..jamaa ni boss ana mapene...akirudi kwake jaman huamin ndo yy...yaan mishe za kukata fence zote anarekebisha yeye. .mkewe anauza samaki sato basi wakija yeye ndo anapima na kukata..imagine samak alivyo na shombo anamwambia mkewe ntakata tulia ..yaab ukimkuta anapima samak utakataa ..wanaume dizain hiyo hata akiyymba ataweza fabya mengine ....Sema dada yangu,hizo sindano zako zinauma sana japo zinaponya,,,,,,ukweli unaouma wanaume tunajilegeza sana
Kwahyo kukatafence na sato tu ndo kumekumaliza kabisa mtoto wa watu,ama kweli nyie wanawake viumbe vya ajabu sana😁Kuna mshikaji ana kampuni ya c&f dar..jamaa ni boss ana mapene...akirudi kwake jaman huamin ndo yy...yaan mishe za kukata fence zote anarekebisha yeye. .mkewe anauza samaki sato basi wakija yeye ndo anapima na kukata..imagine samak alivyo na shombo anamwambia mkewe ntakata tulia ..yaab ukimkuta anapima samak utakataa ..wanaume dizain hiyo hata akiyymba ataweza fabya mengine ....
Unawaza kuyumba tu,mbona huwazi akipata zaidi? Unaamini zaidi katika kufilisika kuliko kupanda kiuchumi,inawezekana wewe ni tajiri lakini bado una mindset ya kimasikini..wanaume dizain hiyo hata akiyymba ataweza fabya mengine ....
We naye mzito...hebu angalia mtiririko ulipoanzia huko juuUnawaza kuyumba tu,mbona huwazi akipata zaidi? Unaamini zaidi katika kufilisika kuliko kupanda kiuchumi,inawezekana wewe ni tajiri lakini bado una mindset ya kimasikini
😒😏Kwahyo kukatafence na sato tu ndo kumekumaliza kabisa mtoto wa watu,ama kweli nyie wanawake viumbe vya ajabu sana😁
Miaka mingiKwa hyo first gentleman wa taifa hana lake pale kwa madam prezda
Hakuna uzito wowote hapo,wewe ndo hueleweki kama asili yenu ilivyoWe naye mzito...hebu angalia mtiririko ulipoanzia huko juu
Sawa..furahiHakuna uzito wowote hapo,wewe ndo hueleweki kama asili yenu ilivyo
Mimi furaha ni sehemu ya maisha yangu,sitegemei comment yako ili nifurahiSawa..furahi
Pole kwa stress mkuu....lol...naona unahemkwa hatari...Mimi furaha ni sehemu ya maisha yangu,sitegemei comment yako ili nifurahi
Stress mimi tena mkuu,kwani wanifahamu?Pole kwa stress mkuu....lol...naona unahemkwa hatari...
so sad kwa kweli
Tuongee lkn tumkumbuke kwamba mama zetu, Dada zetu, shangazi, mabinti, Bibi na mchumba nao pia Ni wanawake.Mapenzi ayana formula mkuu, unatakiwa kuzingatia kitu kimoja, ukipata nafasi ya kumuumiza mwanamke akikisha unamuuuza kisawa sawa yaaani
Maisha ya ndoa ndivyo yalivyo. Ukipata mkosi wa kuoa; maana hakuna ndoa isiyo na changamoto na mpaka tunaona walio single wanafaidi; utakundua kuwa hayo na mengine mengi ni hali ya kawaida katika ndoa. Hususan mwanamke akijiendeleza na kukuzidi cheo au kipato, K yake utainusa katika chupi chafu ukipata bahati ya mtende ya hata zenyewe kuziona. Dogo umesahau mywangu wako alipokwenda chuokikuu alikutendaje! Hao ndiyo wanawake. Hata Wangari Maathai alipokuwa sekondari, chuo na sasa akiwa mwalimu wa SUA ni watu watatu tofautiso sad kwa kweli