Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Achana na hela hiyo itoe .sio lazima wanaume wote muwe na hela...mengine ni majaliwa..usmart naosemea mm uweze kutatua changamoto zozote zile...! Yaan hata kama hakuna msos mwambie mwanamke wako nipe muda nijur cha kufanya...yaan sisi tunapenda sana kusikia hayo maneno....mtot karudishwa ada atleast ongea neno la kujionesha uanaume wako bas nafsi yangu itulie ...atleast onesha unajali kwenda shulr na kuongea kiume yaani napenda UJIFARAGUE...kuna wanaume mtoto amerudishwa ada anakuambia mm sina hela unataka nikaibe!!imagine anakuambia hvyo alafu kesho unataka uheshimiwe๐๐๐๐๐๐๐๐! Yaani jibidishe mzidi kila kitu mwanamke wako yaan ngumu sana kufurukuta..narudia ngumu sana..hata kama mwanamke atakua anahela lakini hawez fanya jambo bila kukuambia wewe....maana anajua unamjali kwenye changamoto zozote...sasa hela huna huna ushauri wala mawazo ,unaleta ukidume wako fyongo weeeee...kaa tu kwa kutulia!unaposema uwe smart vibaya mnoo unamaanisha nini? naomba ufafanuzi.
dah nimekutafuta ibox sikupati, nakuomba inbox tutete kidogo...Achana na hela hiyo itoe .sio lazima wanaume wote muwe na hela...mengine ni majaliwa..usmart naosemea mm uweze kutatua changamoto zozote zile...! Yaan hata kama hakuna msos mwambie mwanamke wako nipe muda nijur cha kufanya...yaan sisi tunapenda sana kusikia hayo maneno....mtot karudishwa ada atleast ongea neno la kujionesha uanaume wako bas nafsi yangu itulie ...atleast onesha unajali kwenda shulr na kuongea kiume yaani napenda UJIFARAGUE...kuna wanaume mtoto amerudishwa ada anakuambia mm sina hela unataka nikaibe!!imagine anakuambia hvyo alafu kesho unataka uheshimiwe๐๐๐๐๐๐๐๐! Yaani jibidishe mzidi kila kitu mwanamke wako yaan ngumu sana kufurukuta..narudia ngumu sana..hata kama mwanamke atakua anahela lakini hawez fanya jambo bila kukuambia wewe....maana anajua unamjali kwenye changamoto zozote...sasa hela huna huna ushauri wala mawazo ,unaleta ukidume wako fyongo weeeee...kaa tu kwa kutulia!
Huu sasa mfano hai..majuzi nilikua na shoga angu yuko njema..mumewe mwalimu wa sec...mkewe anamiliki ishu fulani kubwa...na upande wa mke wanajiweza balaa...
Sasa bibi mtu kamchukua mjukuu amsomeshe sekondari(baada ya baba mtu kusema yy hana hela tena)...sasa mtoto karudi pasaka baba mtu anasema ohh nataka nisafiri naye nikachek shule mliyompeleka...umeelewa?? Yaan mkwe anakusomeshea first born wako ila unataka ukachek mazingira anayosoma mwanao na ni shule expensv ..yule bibi kwa maskio yangu nikamskia anamwambia mwanaye wa kike..anataka kuja kukagua shule aje na ada na usimpe nauli..atafute nauli yake..asitake kutupanda..ameshindwa msomesha mtoto unaleta ukidume hapa๐คฃ๐คฃ! Kifupi dogo (mtoto)amepandaโ kwenda shule kamuacha dingi na boxer (๐)yake hapa Moro๐คฃ๐คฃ!
??dah nimekutafuta ibox sikupati, nakuomba inbox tutete kidogo...
i means pm
Kunan ?i means pm
nina maswahiba yangu tu, ushauri wako nikiupata utaniponya ndio maana nimekuomba pmKunan ?
ila kama hauta penda basi, sio kwa nia mbaya.Kunan ?
Yaan kama ni wa mapenzi mm hua niko straight sana nitakupoteza..thts y hunion jukwaa za mapenzi best...hahaha huko mm nna maamuzi magumu sana...labda yawe ya kijamii! Ila ukiniuliza sijui habar za demu wangu ananinyanyasa ntataka unyanyaswe zaidi akili ikuamke maana hamjitambuinina maswahiba yangu tu, ushauri wako nikiupata utaniponya ndio maana nimekuomba pm
Numekupmila kama hauta penda basi, sio kwa nia mbaya.
sorry to ask[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mwanamke kumuwin ni kitu kidg sana...jitahid uwe smart vby sana ..yaan mzidi kwa kila aspect...atakua ana adabu mwanamke anataka akikupa challenge uitatue...yaan hata kama huna ujuzi na kicho kitu basi jitahid uwezavyo ukinga'amue...! Mwe sijui nielezeje...binafsi mm napenda mwanaume anizidi sana sana yaan iwe 20/80! Ukweli ntastick sana na ww ntahis niko safe mno...! Sio unaambiwa changamoto ndogo unaanza tena muuliza mwanamke wako TUNAFANYEJE!!..
Kuna siku nilibeba mkaa gunia kubwa basi buti haikufunga nikajisahau kbs kuhusu trafiki dah akanidaka ..bas nikawaeleza watu wawili jaman ttafiki amenidaka na mm sitak kumpa hela...mmoja akaniambia dah sasa tunafanyeje! Mwinginr akaniambia nipe simu niongee naye..nikampa..akampa somo mie najitikisa tu najua trafiki hachomoi...na kweli nikarudishiwa key nikasepa kwa mbwembwee....umeona sasa ..sasa mm nakuambia nimeshikwa unaniambia tunafanyeje?? kufa!
Wapi nimesema nilikua na wanaume 2? Nimesema niliwapgia simu wanaume 2 kwa wakat mmoja..mwinginr akasema dah sasa tufanyeje..mwingine akasolvesorry to ask
Kwa io ulikuwa na wanaume wawili at the same time??
relax come down pleaseWapi nimesema nilikua na wanaume 2? Nimesema niliwapgia simu wanaume 2 kwa wakat mmoja..mwinginr akasema dah sasa tufanyeje..mwingine akasolve
Am okrelax come down please
nimekuelewa
najua vizur tu ila nimeona nimuite ivo mywangu kutokana na wanavyotuita ๐๐Acha ushamba hujui my na wangu ni neno moja? Eti mywangu sawasawa na barabara ya morogoro road.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Word! Yaan kama unanisemea mimi nilivyo hahahaaa....mpaka wife ananishangaaga navyotoaga simpe solutions under complex circumstances na zina work out.Achana na hela hiyo itoe .sio lazima wanaume wote muwe na hela...mengine ni majaliwa..usmart naosemea mm uweze kutatua changamoto zozote zile...! Yaan hata kama hakuna msos mwambie mwanamke wako nipe muda nijur cha kufanya...yaan sisi tunapenda sana kusikia hayo maneno....mtot karudishwa ada atleast ongea neno la kujionesha uanaume wako bas nafsi yangu itulie ...atleast onesha unajali kwenda shulr na kuongea kiume yaani napenda UJIFARAGUE...kuna wanaume mtoto amerudishwa ada anakuambia mm sina hela unataka nikaibe!!imagine anakuambia hvyo alafu kesho unataka uheshimiwe๐๐๐๐๐๐๐๐! Yaani jibidishe mzidi kila kitu mwanamke wako yaan ngumu sana kufurukuta..narudia ngumu sana..hata kama mwanamke atakua anahela lakini hawez fanya jambo bila kukuambia wewe....maana anajua unamjali kwenye changamoto zozote...sasa hela huna huna ushauri wala mawazo ,unaleta ukidume wako fyongo weeeee...kaa tu kwa kutulia!
Huu sasa mfano hai..majuzi nilikua na shoga angu yuko njema..mumewe mwalimu wa sec...mkewe anamiliki ishu fulani kubwa...na upande wa mke wanajiweza balaa...
Sasa bibi mtu kamchukua mjukuu amsomeshe sekondari(baada ya baba mtu kusema yy hana hela tena)...sasa mtoto karudi pasaka baba mtu anasema ohh nataka nisafiri naye nikachek shule mliyompeleka...umeelewa?? Yaan mkwe anakusomeshea first born wako ila unataka ukachek mazingira anayosoma mwanao na ni shule expensv ..yule bibi kwa maskio yangu nikamskia anamwambia mwanaye wa kike..anataka kuja kukagua shule aje na ada na usimpe nauli..atafute nauli yake..asitake kutupanda..ameshindwa msomesha mtoto unaleta ukidume hapa๐คฃ๐คฃ! Kifupi dogo (mtoto)amepandaโ kwenda shule kamuacha dingi na boxer (๐)yake hapa Moro๐คฃ๐คฃ!
Achana nae kaja mjini jana hajui hata vimisemo vya kawaida tunajua vizur tu ila nimeona nimuite ivo mywangu kutokana na wanavyotuita ๐๐
Kuandika rahisi...
PoleHujakutana na wanaume bado tembea tembea hlf ndo utaelewa wanaume wapo tofauti...
Anachokiongea huyu jamaa ni sahihi sana na kama hujawahi kutana na type hiyo ya wanaume basi labda una date watoto wa mama..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waaaafrika wana kichwa ngumu sanaYaan kama ni wa mapenzi mm hua niko straight sana nitakupoteza..thts y hunion jukwaa za mapenzi best...hahaha huko mm nna maamuzi magumu sana...labda yawe ya kijamii! Ila ukiniuliza sijui habar za demu wangu ananinyanyasa ntataka unyanyaswe zaidi akili ikuamke maana hamjitambui