Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Inaendelea

Mwanzoni mwa Mwaka 2019 nahisi February kitu kama hicho tulikua na mahubir mitaa fulani.Mahubir yalikua ni makubwa tu ko watu walikua ni wengi na sisi kama kwaya tulikua tuna perform nilikua siogopi hadhira maana nilishazoea.Hata ule mkutano mkubwa ulio fanyika Uwanja wa Kirumba mwanza kwaya yangu pia ili performs, experience nilikua nayo plus confidence.

Siku moja tulikua tunaimba kwenye mahubiri ilikua jumamosi ( mahubir yalikua ni wiki tatu )...sikuamini macho yangu aisee pale nilipomuona Mrembo mmoja ( pisi kali ) alikua kaaa viti vya nyuma kwenye mkutano.Nikiri wazi nilikua na confidence za kutazama watu usoni lakin cku hyo nilikosa confidence aisee....macho yalipokua yanakutana nae niliyakwepesha nikawa naangalia pembeni.

Kichwani nilijiuliza huyu mrembo ni wawap mbn cjawai kumuona before.Kwa jinsi alivyokua mrembo basi nilijua tu hokosi ka Mshikaji.Siku hyo niliteseka sana hata yulipomaliza kuimba na kukaa kwenye sehem yetu ya waimbaji, shingo langu lilipata kazi cku ya kugeuka nyuma kumuangalia kiwizi wizi.

Nilisema tukitoka tu lazima nimfuate hata nijarbu kuomba namba.Moyon Nilijua tu kurushwa ni must kwanza me muimba kwaya na yeye jinsi alivyo niliona kabisa me siyo type yake ( hapo nilikua najihukumu mwenyewe kabla hata cjahukumiwa ).

Muda wa kutawanyika ulifika lakini tulikua tunarud mchana kwa ajili ya program nyingine.Kama kawaida nilivyopanga kuwa muda wa kutawanyika niende kwa mrembo niombe namba.Wakati najianda kwenda Ticha wetu wa kwaya alikua anaita waimbaji wake kwa mazungumzo...sasa me nilimtoroka lakin aliniona aliniita kwa ukali nilichukia ila ckua na namna, nilimsindikiza kwa macho huyo mrembo nikajipa moyo kuwa akirud jioni nita deal nae.

Kiukweli nilishatoka na Wasichana wengi tu na nilikua nawapenda lakini huyu nilimpenda sana sana kuliko hao wa nyuma, huwezi amini mpk nilikua namuonea wivu nikimuona na wanaume ( ingawa nilikua cjaongea nae ).....

Siku hyo hakurud jioni nilijiskia vbya nikawa sina raha, hata tukiwa tunaimba macho yangu yalikua yana muangaza lkn niliambulia kuona Washiriki tu.

Jumamosi nyingine nayo nilimuona lakin pia nikashindwa kuchukua namba, hivyo hivyo na iliyofuata tena pia nilishindwa kuchukua namba ko nikakausha tu.

Hata baada ya Mahubir kuisha tukarejea church nilikua namuona anakuja kanisan kachelewa, ubaya ilikua me nakaa mbele kwa waimbaji afu yeye anakaa nyuma kabisa, ko muda wa kutoka church alikua anawai kuondoka nikawa na ambulia patupu.Nilisema huyu demu nitamgonga tu haijalishi ni lini.

Mwezi wa nne tulienda kambi la vijana lilikua ni la Mara nzima na lilifanyika Serengeti.ko nilivyoenda huko angalau nikawa hata simuoni huyo mrembo.

kipindi tuko kambi nilizinguliwa na Master guide mmoja hivi alikua wa Bunda.Kisa ckua na kitambulisho cha Kambi, alinizingua yeye na wenzake kuingia kambini.Cku hyo kweli nilisahau kitambulisho kwenye tent langu ni lilokua nalalapo.

Ilibidi nipige simu wanilete kitambulisho huyo master gaidi ( guide ) nilimtunza moyoni nikasema huyu akija kuingia kwenye 18 zangu atalia na kusaga.

Siku zilipita na hatimae ikawa ni zamu ya Kanda yetu kukaa getini cku hyo.Kwa ajili yake nilikaa getini ili nikimuona anatoka na kama hana kitambulisho nimzingue.

Siku hyo ilikua Alihamisi na kulikua kuna Kozi ya Kwata ( Parade ) mida ya saa tano au sita watu walikua uwanjani wanapiga kwata, walikua wamejigawa kikanda.

Sasa wakati wanarud ndani ya Kambi wako kivikosi na kila kikosi kina ongozwa na Master guide.Kwa vile nilikua getini mimi na wenzangu ( waogaaa )...nilikua naviona hivyo vikosi vizur vina vyokuja kwa mwendo wa Haraka.

Kikosi kutoka Tarime ndo kilianza kuingia, niliwafungulia geti vizur sana, kikosi cha Adui yangu kilifuatia tena nilimuona adui yangu hana kitambulisho na yuko busy tu na mwendo wa kikakamavu anakuja.Nilimcheki nikawambia wenzangu hakuna kufungua geti...Wenzangu ni waoga jamani walikubali tu ili wasionekane ni waoga.Tena niliamua kuweka pozi kabisa getini.

Kikosi kilivyofika getini wakanambia nifungue geti tena huyo huyo master gaidi ( guide ) nikagoma mpk anioneshe kitambulisho.Yaani walikua wamesimama lakini bado wanapiga mark time ( kuchapa mguu ).

Geti lilikua ni limtii ( yani kama yale ma vizuizi vya ma police barabarani.) ko alicho kifanya huyo Masters guide na mahasira yake alikuja akalishika lile geti kufungua kwa nguvu me nae ni kawa nimeling'ang'ania asifungue.Duh huyo mbaba alikua amekomaa alini shinda nguvu akaingia kibabe alinipiga kofi zito la sikioni ( mpka nikasikia sikio linalia fyuuuuuu....) akuishia alinipiga ngumi ya pua na hyo ngumi ilinifanya nirud kinyume nyume kulikua na jiwe nyuma yngu nilijikuta nimelikalia bila kujua.Huyo master gaidi ( guide ) cjui alidhani me ni rika lake cyo kwa kipigo kile.

Wenzangu walikuwa waogaa walikaa kimya.Kiukweli cku leta kiburi nilitulia pale kwenye jiwe wakati huo huyo master guide ananifokea kuwa ' Kanisani kwenu ndo mnafundishwa hivyoo na tena nikiamua nitakufukuza urudi kwenu"....nilikua kimya hata cmjibu nasikilizia maumivu.Siku hyo nilipatikana kwa kweli walivysepa nilijiondokezea zangu kwenda kambini kwetu kulala.

Ijumaa cku ya mwisho kambini tulipewa tena tulinde kanda yetu ko nilikua mpole kiaina nilikya nasubir usiku ufike nizingue watu hata roho yangu iwe na amani.

Usiku ulipofika sasa nilienda kukaka getini mimi na jamaa mmoja hivi ( ni rafiki angu wa damu ).....sasa wakat tupo pake getini muda huo bado pua langu linauma uma tuliona watu wawili wanakuja mbele kwetu alafu kama hawajiamini hivi.

Niliwauliza nyie ni kina nani mwanaume akajibu ni mimi bna kwani hunijui ( Alikua ni Msela na demu )..huyo rafiki angu alijibu tuukujue we ni nani fala nini.. ( huyu rafiki angu kwa mikwara tu ni noma )...jamaa akawa mpole akajaza zaid tulipokua demu yeye alibaki nyuma.Kwanza nilimwambia kitambulisho anipe nikione, hakua nacho tukampigisha magoti kwanza.Demu nae alikuja nikamwomba kitambulisho yeye alikua nacho.

Kumbe huyo msela na Demu wake walikua wanataka watoke nje waende kunyanduana huko vichakani, huyo msela ilibidi tu aseme ukweli tumuache aende wakamalizane ( na alivyokua mnyonge tulimzingua sana )...nilimwambia jamaa ana sh ngap nimuache aende, akadai hana kitu...nilimwambia atuachie simu iwe ka bound akakubali ko aliizima na kutupatia ( ilikua ni ni Samsung J 1 )...ila nyege ni mbaya jamani, alivyotupatia simu tulimruhusu aende kunyanduana.

Niliweka simu mfukoni nikamwambia jamaa tusepe huyo jamaa akimaliza mambo yake atatutafuta nimpe.Dhubutu simu ckumrudishia maana jamaa kwa vile tulikua kanda moja ko haikua shida sana kunipata.Alivyokuja ili nimpe simu nilimwambiwa nitampa baada ya ibada ya Sabato kuisha hakua na la kufanya aliondoka kinyonge kusubir kusubir kesho ifike na ibada iishe achukue simu yake.

Kesho ibaada ya Sabato ilivyoisha kamaa alinitafuta nimpe simu nika mwambia iko mbali ko nitampa cku ya jumapili tukiwa tuna tawanyika kwenda makwetu.

Siku ya jumapili ilifika tena cku kambini kwetu tuliumwa matumbo kweli ko kuharisha ilikua nje nje ( maharage yalifanya kazi kisawa sawa ).

Tulikua tuna subir coster ije ituchukue tusepe jamaa alii fuata nika mwambia sory sana simu yako ipo kwenye begi ko nivumilie tukifika msoma nakupa simu yako.Alikubali akasepa na cku hyo tumbo liliniuma hatar na choo tulikua tumezifukia ko choo ya Mama mmoja ni mwana kijiji pale ndo ilitusaidia, chok yenyewe ilikua ukikanyaga vbya unatumbukia chini .Sio mademu wala sisi masela yani wote ilikua ni tumbo tumbo tulikutafuna mkaa ndo kidogo matumbo yakatulia.

Mungu saidia tulifika msoma salama bila kuchimba dawa njiani, lakin tumbo lilivyoona chok tu likaanza kwa speed ya bei ya vifurushi.Nilitoja chooni nikamuona yule jamaa wa simu ana ningojea.Nilimjibu vby sana nilimwambia we huoni na umwa au ulituroga tufe.Aliishiwa pozi akadai nimpe no zangu ili nikipona anitafute nimpe simu yake, nilimwandikia no kwenye kikaratsi akasepa zake.

Simu sikumpa ng'oo mpk mwenyewe alichoka kunitafuta kuna jamaa mmoja aliipenda ko nikamuuzia bei ya kutupa.

.************************************""*************

Samahani wakuu Today Mafua yameibana hatare ko nilishindwa kuandika mida ya mchana

Nitarudi kuendelea
 
Dah it's a nice story with alots to learn. Ahsante sana mwandishi. Nimejifunza mengi sana hasa malezi ya watoto na ndoa kiujumla. Nimeanza kuisoma hii story yako leo saa 1.37 asubuhi ndo nimemaliza muda huu. Big up sana kaka, kuna sehemu zinahuzunisha, kufurahisha na kufundisha kwa sehemu kubwa. Naendelea kukuombea kwa Mungu azidi kuibariki familia yenu ktk maisha mapya baada ya mikasa hii.
tupo pamoja mkuu
 
Mwana ilo kofi na ngumi ya pua ilikua balaa mi nikajua utamtafuta mwamba aliyekupiga ufanye revenge
 
Mkuu tiririka maana tisi ara ei wamerudisha vifurushi vya zamani, Mb zipo za kutoshs
 
Back
Top Bottom