Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Hahahaaaa...mission accomplished
 
story zako nzuri sana mwanangu, mpaka natamani uwe mwanangu wa damu kabisa maana, kwenye utulivu wa dini upo, kwenye usera mavi usera nondo umo, kwenye pilikapilika za maisha umo, kwenye undava umo yaaani mwanangu maisha ambayo hauna ni ya kishua tuu
 
story zako nzuri sana mwanangu, mpaka natamani uwe mwanangu wa damu kabisa maana, kwenye utulivu wa dini upo, kwenye usera mavi usera nondo umo, kwenye pilikapilika za maisha umo, kwenye undava umo yaaani mwanangu maisha ambayo hauna ni ya kishua tuu
pamoja sana man yani umenikumbusha kuna demu mmoja hivi alikua ni wakishua sana kwao sasa cku mija alinambia anapenda life style yangu yani akiniona mitandaoni ni tofaut na akiniona mtaa, tupo pamoja man nakubali sana 👊🏻👊🏻👊🏻
 
Hahahah...umenikumbusha mbali sana...makilikili walinikimbiza mpaka nikazimia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
pole sana ningekuepo labda ningekusaidia 😂😂
 
Kama Movie hivi!
 
Oya kama nacheki Movie mzee
 
Umenikumbusha kwenye makongamano ya vijana na makambi daaa tumeliwa na mbu saana kisa kusubiri dem apite maana kwenye uwanja mashemasi wanazingua
 
Umenikumbusha kwenye makongamano ya vijana na makambi daaa tumeliwa na mbu saana kisa kusubiri dem apite maana kwenye uwanja mashemasi wanazingua
huko sasa ndo palikua patamu kuna kambi moja tulienda ilikua 2015 na ndo lilikua kambi langu la kwanza kwenda.Kuna demu wa kikrya nilimpenda sasa alinipa ahadi ya kuonana nae usiku.

Sasa usiku nilimfuata kambin kwao nikakutana na wakurya wenzake wakawa wanihoji namtakia nini demu wao, niliwatukana acha wachukue mapanga waanze kunifukuza.Nilikimbika sku aisee mpk sehemu wachungaj walipokua wameweka kambi nikaingia 😂.Ngoja niishie hapa
 
Hatimaye nimemaliza kuusoma uzi

Nilitamani zaidi kusikia kuhusu yule dogo mliyeiba naye kipindi mpo shule ya msingi mpaka msala ukafika shuleni kisha polisi. Pia kuhusu mdogo wako mwizi.

Huu ukorofi pamoja na kwamba umechochewa na mazingira uliyoishi,lakini kuna vitu umerithi kwa wazazi

Matukio yote uliyopiga humu yamefanikiwa, lakini ninaamini hata uwe smart vipi lazima kuna matukio yalifeli, na ukakamatwa na pengine si mara zote ulikuwa shujaa, naamini zipo siku ulikula kipondo cha haja [emoji23]

Kwa haraka haraka mali ulizoiba ndugu yangu zinafika hata milioni hamsini [emoji1787].

Pia inaonesha yaani wizi upo kwenye damu, ndio maana wizi wako haukuwa full time. Yaani unafanya kazi halali lakini wakati huo huo unaiba

Kinachovutia kwenye hili story yako ni namna unavyochanganya dini (maisha ya kumfuata Mungu) na uchakaramu [emoji119]

Endelea kutoa story aisee,maisha yenyewe ndio haya haya [emoji23]
 
Mwaka huu nimekutana na story mbili kali kwa hapa jamii forum ile ya..... Khumbu na hii ya huyu Mjaidina. Mpaka hapa mzigo upo 50/50.
Tupia Link tuusome na sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…