Hadithi ya EFM ya dada VERONICA mpya ya leo ina viashiria vya kupromote ushoga

Hadithi ya EFM ya dada VERONICA mpya ya leo ina viashiria vya kupromote ushoga

Mende mdudu

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
197
Reaction score
405
Hadithi zake zina mafundisho ila leo ameanza hadithi mpya. katika pitapita zangu nimekutana nayo ila maudhui yake hayendani na tamaduni zetu,

Mtoto wa form one ana rafiki mzungu mara wana pigiana simu video call waogeshane. Kwa video call mzungu na uyo kijana wote wakiume ata kama una mafundisho ila kwa wasikilizaji ina viashiria vya upinde.

Naomba kuwasilisha.
Mkulima wa kahawa misenyi mkoani Kagera kwa sasa nipo Kuala Lumpur Malaysia
 
Mpaka umegundua Hilo itakuwa na wew ulianza na viashiria hvyo hivyo.
 
Wewe jamaa kama kweli uko kuala lumpa malysia njoo hapa Citrozone city nikupige viboko huwezi kuwa unasikiliza story za wamama alafu unakuja hapa kulingisha watu .
Msamehe bure. Amesema anatoka mkoa wa Kagera; na mkoa ule 99.99% ya wakazi wake ni wagonjwa wa Narcistic Personality Disorder.
 
Taratibu tunaenda huko. Hawa watu wa media kwa sasa ni kama wanaweka vichaa kwanza nasikia wengi ni pandikizi wa kucheza na media kuharibu jamii ndio maana uhovyo umetawala kwenye media wanapromote upuuzi.

So usishangae kuwa wana nadi ushoga.
 
Back
Top Bottom