The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 609
- 1,576
Umeelewa lakini hadithi shekhee wangu?Ugoko alichaguwa kubadirika maana anajuwa kilichomkuta mtangulizi, wanaogaragazwa kwenye tope si wote wanasomeshwa namba baadhi
Kabla ya igizo kutamatika mateka wataficha kiatu cha ugoko ili kupima uimara wa miguu yake.
Asichokijuwa ugoko ile bastola haina risasi maana waliompa nao niwahuni hawakumuamini kwa asilimia mia.
Ipi tena Brother?Fungua code mkuu.
Rudia tena kuisoma,zingatia Bastola iliwasili na alikabidhiwa Ugoko ina maana ilikuwa full magazineAhaaa ugokoooo bastola tupu kumbe
Ahahahah elewa hadithi vizuri.Ugoko anawakilisha unyenyekevu wa mwananchi kabla hajawa mtawala.
Michango na makubaliano ni kura anazopewa ugoko kuwakilisha wenzake ili kuwalinda.
Bastola ni mamlaka na nguvu anayopewa ugoko na wananchi wenzake kwa ajili ya kujilinda yeye binafsi kwa manufaa yake binafsi si wananchi.
Ugoko MkuuUgoko
🤣🤣🤣 Piga piga kichwa.Bwana Ugokonni balaa hii hapa habari yake kamili.
Alikuwa mtu pendwa akiwa tayari kufanya lolote kuhusu kazi na hakua na utani. Alijipenda na alipenda wenzie pia ana alifanya awezavyo ilo hata wenzake waanze kuwaza kuwa hakika yeye ni mwamba.
Tetesi za chinichini uyo bwana Ugoko alikua mfia dini, kiasi kwamba kwa mwonekano wake lazima huamini kama uyu ni mtu wa dini kwelikweli.
Baada ya kushinda dhamana ya kua yeye apewe funguo ya mlango wa mbele na geti la nyuma ambalo ni shortcut lifungwe sawasawa na funguo zote apewe yeye maana ni swala la kiusalama la nyumba.
Kumbuka kua bwana huyu alikua mtu yaani hasa roho na tabia zake huwezi kuzijua kamwe, kama ni kalata hakika alizichanga kweli kweli.
Baada ya kukabidhiwa bastora tena mbele ya wenzie kwa sauti ya upole. Yaani yeye akiwa mbele na wenzie wakitizamana. Akapoga risasi juu. Na baada ya happ akasema unajua kaka hii inaua.
Akaanza kuweka masharti.. na kila mwisho wa sharti ilikuwa lazima upige makofi, kuonyesha meno au kutabasamu kwa namna yoyote. Nyuma yake kulikua na kamera ivyo matukio hayo yalimpa sifa kubwa kwa kila alieona ile video.
Ikabaki ni vijimaneno vya chini, kwamba kuna siku na mimi nitashika iyo kitu na uyu ugoko atakoma. Izo zimekua dua tu.. ambazo bwana ugoko kaziba masikio na kuona haya maneno ni upumbavu usiokuwa na lolote.
Amekuwa MonsterLiugoko liliamua kuwachenjia wana
DahBwana Ugokonni balaa hii hapa habari yake kamili.