nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,685 Jul 6, 2017 Thread starter #61 Kiriku said: Arusha nakipata vipi? Click to expand... Tunatuma kwa bus
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jul 6, 2017 #62 Mkuu ahsante kwa riwaya, nje ya mada, naweza kupata wapi kitabu cha mbio za jasusi?
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,685 Jul 6, 2017 Thread starter #63 Samaritan said: Mkuu ahsante kwa riwaya, nje ya mada, naweza kupata wapi kitabu cha mbio za jasusi? Mwandishi ni nani? Click to expand...
Samaritan said: Mkuu ahsante kwa riwaya, nje ya mada, naweza kupata wapi kitabu cha mbio za jasusi? Mwandishi ni nani? Click to expand...
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,685 Jul 6, 2017 Thread starter #64 Samaritan said: Mkuu ahsante kwa riwaya, nje ya mada, naweza kupata wapi kitabu cha mbio za jasusi? Click to expand... Mwandishi ni nani?
Samaritan said: Mkuu ahsante kwa riwaya, nje ya mada, naweza kupata wapi kitabu cha mbio za jasusi? Click to expand... Mwandishi ni nani?
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jul 6, 2017 #65 nameless girl said: Mwandishi ni nani? Click to expand... Nilikisoma zamani sana nikiwa shule ya msingi, google inaniambia Frolika Liyumit, Mashaka publications, 1989. Kwa mara ya kwanza kusikia CIA, FBI, NIS, Visiwa vya Roben, kwa ufupi nilikipenda sana!
nameless girl said: Mwandishi ni nani? Click to expand... Nilikisoma zamani sana nikiwa shule ya msingi, google inaniambia Frolika Liyumit, Mashaka publications, 1989. Kwa mara ya kwanza kusikia CIA, FBI, NIS, Visiwa vya Roben, kwa ufupi nilikipenda sana!
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,685 Jul 6, 2017 Thread starter #66 Samaritan said: Nilikisoma zamani sana nikiwa shule ya msingi, google inaniambia Frolika Liyumit, Mashaka publications, 1989. Kwa mara ya kwanza kusikia CIA, FBI, NIS, Visiwa vya Roben, kwa ufupi nilikipenda sana! Click to expand... Samahani. Unaweza kwenda ofisi za mkuki na nyota ingawa sina hakika.
Samaritan said: Nilikisoma zamani sana nikiwa shule ya msingi, google inaniambia Frolika Liyumit, Mashaka publications, 1989. Kwa mara ya kwanza kusikia CIA, FBI, NIS, Visiwa vya Roben, kwa ufupi nilikipenda sana! Click to expand... Samahani. Unaweza kwenda ofisi za mkuki na nyota ingawa sina hakika.
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,351 Reaction score 12,687 May 31, 2018 #67 ibra87 said: Aisee!?? Hakika Ben Ntobwa alikuwa ni Hazina Ya Utunzi katika Nchi Hii... Pumzikeni kwa Amani wewe na mzee mwenzio Elvis Musiba Click to expand... Dah!!! Mkuu na wewe upumzike kwa amani. Hata wewe ulikuwa sihaba.
ibra87 said: Aisee!?? Hakika Ben Ntobwa alikuwa ni Hazina Ya Utunzi katika Nchi Hii... Pumzikeni kwa Amani wewe na mzee mwenzio Elvis Musiba Click to expand... Dah!!! Mkuu na wewe upumzike kwa amani. Hata wewe ulikuwa sihaba.