Mama paradigm
JF-Expert Member
- Apr 17, 2010
- 406
- 807
Dah kama ulipewa go ahead tushushie vitu kaka..!mimi nimenunua vitano mpaka sasa.. Hiki mikataba ya kishetani alishawahi kuniruhusu nikishushe humu sema muda wangu ndio ulikuwa mdogo kwangu
nadhani ni mikononi mwa nunda kama sijakosea.. Lakini Nameless girl kuja hapa ulete jinaDah kama ulipewa go ahead tushushie vitu kaka..!
halafu kuna kitabu kingine...nakumbuka niliwahi kukisoma wakati mdogo, Joram alikuwa ameenda likizo kigoma kumsalimia babu yake...akakutana na balaa...! unafahamu Title yake nikitafute?
oya mkuu ibra87 dondosha mzigo chaliangu naona nameless girl kachoka mana kuandika nako nikazi kidogo, endeleza bs gurudumu aisee.
Saa mbili bado kumbepoa nitaidondosha mida kama saa mbili hivi usiku bado nipo kwenye kusaka mkate
mkuu kitabu ninacho lakini ruhusu kutoka kwa mmiliki wa Riwaya hii ndio kitu kilichonipa ugumu. Sijui kwanini ameamua kuiacha na inawezekana ni mbinu ya kibiashara. Kifupi naweza sanaAcheni kuaaahidi vitu msivyoweza timizaaa aiseee
mkuu kitabu ninacho lakini ruhusu kutoka kwa mmiliki wa Riwaya hii ndio kitu kilichonipa ugumu. Sijui kwanini ameamua kuiacha na inawezekana ni mbinu ya kibiashara. Kifupi naweza sana
Tofauti kubwa iliyopo kati ya elimu na pesa , ni kuwa kadri pesa inavyotolewa ndio inapungua, lakini elimu inavyotolewa ndio inaongezeka kwa mtoaji + mpokeaji,mkuu kitabu ninacho lakini ruhusu kutoka kwa mmiliki wa Riwaya hii ndio kitu kilichonipa ugumu. Sijui kwanini ameamua kuiacha na inawezekana ni mbinu ya kibiashara. Kifupi naweza sana
Takribani 90% ya hadithi za humu huwa haziishi(hazifiki tamati)Kama in janja janja ya biashaara angeweka wazi koz wengine tuko huku msituni access pekeee ni ya hapa