Kama siyo kumtafutia sangoma sijui?Labda kuna kitu kitamu anachompa
Zilipendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].....hivi hilo cover lake umepata wapi mkuu?
Lazima kuna wanaojua ila pengine nao wananufaishwa kwa kujua kwao siri hiyo. Lakini kuna siku masharti yao hayatatimizwa basi nao watakuwa kama huyo kinyozi, watachimba shimo na kusema kasha mti utaota hapo na utasema.Dunia haina siri na siku ikifunuliwa basi jamaa nadhani atakuwa finished.
Lazima kuna wanaojua ila pengine nao wananufaishwa kwa kujua kwao siri hiyo. Lakini kuna siku masharti yao hayatatimizwa basi nao watakuwa kama huyo kinyozi, watachimba shimo na kusema kasha mti utaota hapo na utasema.