Hadithi kuhusu kijiji cha Tanzagiza,mwenyekiti wa kijiji,serikali ya kijiji na wanakijiji wa Tanzagiza

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Hii ni hadithi ya kufikirikia kuhusu kijiji kimoja kinachoitwa Tanzagiza, wanakiji wake,mwenyekiti wa kijiji hicho na serikali ya kijji katika nchi moja hivi ya mbali.

Kwa kifupi,hiki ni kijiji cha watu masikini lakini pamoja na umasikini wao,siku za nyuma watu wa kijiji hiki waliweza kuishi maisha ya kawaida na siku zikawa zinaenda huku taratibu watu katika kijiji hiki wakiendelea kujikwamua kwa kufanya shughuli binafsi za kiuchumi na maisha yakawa yanasonga japo kwa kuungaunga.

Bahati mbaya sana,miaka kama mitatu hivi iliyopita,kijiji kilipata mwenyekiti mpya ambae aliingia ofisini kwa mbwemwe nyingi sana huku akiwapa matumaimi wanakijiji kuwa ataboresha maisha yao na wanakijiji wake wakajawa na matumani makubwa(matumaini hewa) bila kujielewa na hii ni kwasababu hawakutaka kujipa muda wa kumsoma mwenyekiti wao.

Baadhi ya wanakijiji smart katika kijiji hicho iliwachukua muda mfupi tu kutambua kuwa mwenyekiti alikuwa na uwezo mdogo wa kuongoza,hafuati sheria,mkurupukaji na mwenye uwezo mdogo wa kuona mbali-anafanya mambo bila kujiuliza kesho itatokea nini mradi tu kaamua na hasikilizi la mtu.

Wanakijiji hawa wachache na waelewa, walipojaribu kuelimisha wanakiji wenzao kuwa mwenyekiti ni bomu, hajielewi, mkurupukaji,katili,n.k,hakika hawakuelewaka na walishambuliwa sana na kuitwa majina ya kila aina na kila namna.

Kama wasemavyo waswahili, "lisemwalo lipo na kama halipo, laja".Leo hii ikiwa ni miaka mitatu tu,maisha katika kijiji hicho yamebadilika sana;watu ni vilio, kuanzia kaskazini mpaka kusini;mashariki mpaka magharibi.Yaani ni tabu tupu!

Ugumu wa maisha umeongezeka,ajira zimekuwa ni lulu,wenye ajira nao ajira zinapotea,watu wanaporwa mchana kweupe na hawana pa kukimbilia, wastaafu kijijini wanadhulimiwa haki zao,wengine wanauwawa na wengine wanatekwa,n.k.

Hata hivyo,pamoja na yote haya,katika kijiji hicho cha Tanzagiza bado kuna kundi dogo la watu waliochagua kusimama na mwenyekiti na serikali yake ya kijiji bila kujali yanayowasibu wanakijiji wenzao mradi tu wao ni wanafaika wa namna moja au nyingine na uwepo wa mwenyekiti huyo ingawa nao tunasubiri hatima yao/kesho yao.

Kwa kifupi hii ni ndio hali halisi kwa sasa katika kijiji cha Tanzagiza na hadithi yangu imeishia hapa ila nitakuja na part two kuwaelezea hatima ya wale wachache wanaoendelea kumshangilia mwenyekiti.

Swali,hadithi hii kuhusu kijiji hiki cha Tanzagiza, inakufundisha nini?

Je,unadhani nini kinafaa kuwa kichwa cha habari cha hadithi hii?
 
Hii inanikumbusha Vitabu/Tenzi za hadithi na Riwaya za kusisimua tulizokuwa tukisoma enzi za mwalimu na kuambiwa ujibu maswali..!!
Hadithi hii kuhusu Kijiji cha Tanzagiza inanifundisha UTAWALA MBOVU unavyoweza kuleta shida kwa Wananchi/Wanakijiji.
Kichwa cha Habari hii kinafaa kuitwa UONGOZI NI KIPAJI au SIYO KILA MTU ANAWEZA KUWA KIONGOZI.

Hadithi hii hakika inaweza kufananishwa na UTAWALA MBOVU WA MWENYEKITI WA CCM(T) Bwana John Magufuli msukuma wa Chato alioyehamia toka kusikojulikana...!!!
 
Vyuma vimewabana wana kijiji mpaka basi. Hata uchaguzi mwingine ukija ni noma sana. Ile kamati yote ya uchaguzi kaiweka mfukoni na naona atatawala milele.
 
Hii ni hadithi ya kufikirikia kuhusu kijiji kimoja kinachoitwa Tanzagiza, wanakiji wake,mwenyekiti wa kijiji hicho na serikali ya kijji katika nchi moja hivi ya mbali.

Kwa kifupi,hiki ni kijiji cha watu masikini lakini pamoja na umasikini wao,siku za nyuma watu wa kijiji hiki waliweza kuishi maisha ya kawaida na siku zikawa zinaenda huku taratibu watu katika kijiji hiki wakiendelea kujikwamua kwa kufanya shughuli binafsi za kiuchumi na maisha yakawa yanasonga japo kwa kuungaunga.

Bahati mbaya sana,miaka kama mitatu hivi iliyopita,kijiji kilipata mwenyekiti mpya ambae aliingia ofisini kwa mbwemwe nyingi sana huku akiwapa matumaimi wanakijiji kuwa ataboresha maisha yao na wanakijiji wake wakajawa na matumani makubwa(matumaini hewa) bila kujielewa na hii ni kwasababu hawakutaka kujipa muda wa kumsoma mwenyekiti wao.

Baadhi ya wanakijiji smart katika kijiji hicho iliwachukua muda mfupi tu kutambua kuwa mwenyekiti alikuwa na uwezo mdogo wa kuongoza,hafuati sheria,mkurupukaji na mwenye uwezo mdogo wa kuona mbali-anafanya mambo bila kujiuliza kesho itatokea nini mradi tu kaamua na hasikilizi la mtu.

Wanakijiji hawa wachache na waelewa, walipojaribu kuelimisha wanakiji wenzao kuwa mwenyekiti ni bomu, hajielewi, mkurupukaji,katili,n.k,hakika hawakuelewaka na walishambuliwa sana na kuitwa majina ya kila aina na kila namna.

Kama wasemavyo waswahili, "lisemwalo lipo na kama halipo, laja".Leo hii ikiwa ni miaka mitatu tu,maisha katika kijiji hicho yamebadilika sana;watu ni vilio, kuanzia kaskazini mpaka kusini;mashariki mpaka magharibi.Yaani ni tabu tupu!

Ugumu wa maisha umeongezeka,ajira zimekuwa ni lulu,wenye ajira nao ajira zinapotea,watu wanaporwa mchana kweupe na hawana pa kukimbilia, wastaafu kijijini wanadhulimiwa haki zao,wengine wanauwawa na wengine wanatekwa,n.k.

Hata hivyo,pamoja na yote haya,katika kijiji hicho cha Tanzagiza bado kuna kundi dogo la watu waliochagua kusimama na mwenyekiti na serikali yake ya kijiji bila kujali yanayowasibu wanakijiji wenzao mradi tu wao ni wanafaika wa namna moja au nyingine na uwepo wa mwenyekiti huyo ingawa nao tunasubiri hatima yao/kesho yao.

Kwa kifupi hii ni ndio hali halisi kwa sasa katika kijiji cha Tanzagiza na hadithi yangu imeishia hapa ila nitakuja na part two kuwaelezea hatima ya wale wachache wanaoendelea kumshangilia mwenyekiti.

Swali,hadithi hii kuhusu kijiji hiki cha Tanzagiza, inakufundisha nini?

Je,unadhani nini kinafaa kuwa kichwa cha habari cha hadithi hii?
 
Attachments

  • Bernard-Membe1.jpg
    Bernard-Membe1.jpg
    25.7 KB · Views: 23
Maskini! mtu anateseka hadi huruma.
Nasemaje kaa dawati la mbele usome namba vizuri.
Mtatunga riwaya,ngonjera,tamthiliya na kila aina ya shudu kwa kujificha kwenye kivuli cha fasihi mfu ila hakibadiliki kitu hapa.
TULIA DAWA IKUINGIE VIZURI.
 
Niaje Sir Khan?
 
Back
Top Bottom