Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,525
- 5,751
Pole jiran!Jamani buleee. Ndio nini Leo kutufanyia hivo???
Pole jiran!Jamani buleee. Ndio nini Leo kutufanyia hivo???
Asante jirani lakini bule katuwezaPole jiran!
Alhamisi si ndio hii kalubule!Tuonane alihamisi wakuu
KwelHii imenifanya nimkumbuke Shunie na malkia wake alikuwa hatupi arosto hata kidogo
Muwe wapole Jana nilikuwa na kumsindikiza mshikaji kwenye send offKweli kabisa. Huyu ana zingua kichizi yaani..mxiuuuuu zake
Tumekusubiri mkuuMuwe wapole Jana nilikuwa na kumsindikiza mshikaji kwenye send off
Sawa, na Leo ukienda kwenye harusi basi ututumie mapema kabla hujaenda huko.Muwe wapole Jana nilikuwa na kumsindikiza mshikaji kwenye send off
KwakweliiiSawa, na Leo ukienda kwenye harusi basi ututumie mapema kabla hujaenda huko.
Sawa, na Leo ukienda kwenye harusi basi ututumie mapema kabla hujaenda huko.



Ngoja nianze kusoma riwaya ulizoniainishia za MJUKUU WA CHIFUKweli mwenyewe nimejikumbuka si kwa arosto hizi