Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #21
SEHEMU C.
TEA PARTY
TEA PARTY
PALM BEACH Hotel
Kila baada ya miezi 3 warembo 5 hukutana kwa ajili ya tea party, si unajua tena mambo ya kikundi
Katika warembo hao walikuwepo Omana, Manka, Doreen na Elizabeth
Omana na Manka kama unavyojua ni wapare na wachaga, Doreen ni Mpare na Elizabeth ni Msukuma
Basi wanakutanaga kwenye Tea Party wanadiscuss mambo yao ya kikundi na maendeleo, wanaongea mambo mengi ya masomo na maisha Baada ya masomo na mambo ya mapenzi na mengine mengi!
Wakiwa katika kikao kirefu, Manka akamchokonoa Omana kwa kumpitia Eliza na Doreen
Manka:
Eliza shemeji hajambo?!
Eliza:
mh hamna cha shemeji, mimi ni kama nipo single kwa sasa
Omana:
mmmh totoz kama wewe unakuwaje single?!
Eliza: akacheka tu, si unajua tena Eliza mpole, ila watu wapole ni wa kuogopwa maana wanabeba siri kubwa
Manka:
Alafu Eliza nimekumbuka, juzi kati nimekuja chuo kwenu Udsm nakuona unaingia kwenye shangingi moja la hatari, yule alikuwa baba yako au mjomba wako? Maana ilikuwa saa 3 usiku?!
Elizabeth:
akatabasamu lakini hakujibu,
Omana na Doreen na Manka wakaanza kuangaliana leo Eliza vipi? iyo mood vepee, wakaamua kumuacha maana anaonekana kama anapoteza network vile
Manka:
Doreen hawajambo nyumbani kwako?! Shemeji nae mzima?
Doreen:
Nyumbani wazima nitaenda baadae kuwasalimia,
Shemeji yenu hajambo ila yule wa last time nimeshapiga chini sasa hivi nipo na mwengine ila wapo 2
Omana & Manka:wawili?!
Doreen:
Ndio, mimi nimechoka na watanzania wanasumbua tu, nimeamua kutoka nje ya Tz
Manka na Omana:kama wapi?!
Eliza:
Uarabuni na China
Ikabidi wote wacheke, haaaaa! Doreen unabwana wa kichina?! Waarabu sawa tunawaelewa ngoja tukuweke kiporo ila wa kichina hili tunaanza nalo
Doreen:
jamani mabwana wa kwangu mimi nyie inawashangaza nini?!
Manka:
Ndugu yetu huyu bwana wa kichina anajua kizungu au mnaongea kichina?!
Eliza:
Mmh! hajui kizungu wala kiswahili hapo ni ububu mwanzo mwisho
Omana:
Hahaha hii kali, kwahiyo sasa ulimkubaliaje mpaka mkawa wapenzi?! maana hio inaitwa Lugha Gongana!
Manka:
Mmeshapigana mechi au bado?!
Doreen:
Tayar kila kitu, tena ananipeeendaa kweli kweli
Manka:
Oh jamaani! Akyanani ivi kwanza huyu mchina anafanya shughuli gani nchini au ndio anauza vigae na mapazia kariakoo?!
Doreen:
Ana biashara yake Kawe pale kuna garage kabla haujavuka daraja la kwenda kawe wamefungua garage
Manka:
Mmmh, haya mlikutana wapi embu tupe basi mkanda mnzima maana kukuuliza uliza kama mapolisi tunachoka
Doreen akaona aibu kujielezea ikabidi Eliza aingilie kati aongee
Eliza:
Nyie hamjui huyu ndugu yenu Doreen niwaambie mambo anayofanya ya aibu kabisaa
Doreen :
Eliza maliza tu kuongea na mie nayaweka yako hewani malizia tu
Eliza:
Weka, kha! Yangu yana afadhali kuliko ujinga unaoufanya
Basi niwaambie siku moja tupo Mlimani city pale tunasubiria kuingia kwenye Cinema, mara akaja mchina nae anakata tiketi, nadhani alichagua movie ya Skyfall ya James bond
Doreen na upare wake sijui njaa akaniambia huyu mchina handsome, very handsome amejazia ... angalia simu anayotumia ngoja niende kumsalimia
Nikamzuia lakini wapi hataki kuelewe akaenda akajigongesha kwa mchina wa watu, akajiangusha chini, ikabidi mchina amuokote na kumwomba samahani, hapo ndipo walianza kuongea
nikawa nawaangalia Doreen nikijua Mchina anajua kidhungu, kumbe bi Doreen hapa anamuongelesha kwa vitendo, mchina anaitikia kwa kichwa kama Mbwa
Wakaenda mpaka kwenye movie wote, nikaachwa kwenye mataa, ikabidi nikakae seat ya Mchina, Mchina akakaa siti yangu
Movie imeisha sijawaona akina Doreen nikaamua kuchukua bajaj kurudi chuo. Kufika nampiga simu hapatikani; aliniweka sana roho juu maana sikujua yupo na hali gani huko alipo!
Naulizia kwa roommate zake wanasema hajaja, nikarudi chumbani nakuta sms yake nipo na Mchina tuonane kesho simu imeisha chaji wewe rudi tu chuo.
Nikazima simu nikalala
Akaja kesho yake saa 6mchana kachokaa anaona hata aibu kwenda room kwake akaja room kwangu kuomba aoge alafu alale ndio arudi kwake
Nikamuhifadhi bibie si unajua mimi sina choyo mtoto wa kisukuma
Alipoamka na kujiandaa akaanza kunipa stori ya bwana wake wa kichina
Ananiambia jana usiku tukaenda nyumbani kwa mchina mikocheni, kufika show za awali zilikuwa nzuri
Cha kushangaza wakati namvua namkuta Mchina wa watu ana kidyudyu kidogo (kibamia) najaribu kukivaa kibamia kinapwaya hamna raha karaha mwanzo mwisho
Eliza nikacheeeka sio kwa kupatikana huku kwa Doreen akome kudandia wanaume namna ile, nikamwuliza ivi Doreen Tabia yako ya kutafuta mabonge ya bwana utaacha lini?! Kwanini unakuwa na tamaa kiasi hiki kwenu mpoje lakini?!
Doreen: akaniambia kuwa yeye hana wazazi ni yatima
Nimeelewa na mtu baki ambae alinitesa sana pale kijijini, nilipovunja ungo, akawa ananitaka kila siku, nikamtishia nakusemea kwa mkeo akaona namtania nilipoenda kumsemea kwa mkewe; mkewe akacheka, akaniambia wewe mtoto si ushakuwa mkubwa, sasa nakwambia utoke kwangu ukatafute bwana wako naona unanizengea mume wangu eti anakutana, akutake wewe una nini?! Jinsia tatu au?!
Nikafukuzwa nikaondoka kwenda kukaa kwa jirani? hapo nimemaliza darasa la 7
Nikaishi kwa jirani muda mrefu ila jirani alikuwa jirani wa mbali, majibu yakatoka nimefaulu darasa la 7, jirani akafurahi na mkewe wakakubali nisome kidato cha kwanza ila nikae boarding, Jirani akanifadhili nikasoma form 1 mpaka form 4, nikamaliza nikarudi pale kwake nikakaa nisubiri majibu ya form 4,
Katika shughuli za hapa na pale sikumoja yule akapita yule ambae nilikuwa naishi nae mwanzo mumewe akanitaka wakanifukuza, akaleta fitina kwa mama mwenye nyumba, yule mama jirani akaanza kuamini akaanza kunifanyia vituko si kajazwa maneno kwanini nimeruhusiwa kukaa hapa miaka yote hii?! akamwambia yule mama mwenye nyumba kuwa natembea na mume wake! mpaka nimesomeshwa lazima natembea nae!
ikabidi niondolewe pale kwa jirani, jirani akaniuliza unataka kwenda wapi sasa?!
Nikaumiza kichwa spati jibu mara naskia wimbo kwenye redio wa Mr Nice, Unaitwa Wawaaa
Unaimbwa hivi
kuku kapanda baiskeli bata Kavaa raizoni daresalaam wawaaaa, ikooo ikikoo ikooo kokokokokoo ikooo ikikoo shangiliaaa shangilia wewe, wawaaaa
Nikamwambia yule baba anataka kwenda Dar es salaam, sina hili wala lile sina 100 sijui naanza wapi maisha, hata matokeo yangu ya form form 4 hayajatoka.
Yule jirani akanipa hela kwa siri akanipeleka kituo cha bus, akanilipia usafiri wa kwenda Dar es Salaam, akanipa Tsh laki 3, akaniaelekeza Dar es salaam jinsi ya kufika, nikifika ubungo napanda daladala za kwenda sinza Kijiweni, nikifika Kijiweni niulizie chumba za kupanga lazima nitapata
Basi nikamuaga, nikaondoka Same kuja Dar, kufika nikafuatisha kweli maelekezo ya yule jirani, nikatua Sinza, nikashushwa kijiweni nikaakaa muda mrefu pale kituoni baadae nikamwona mama mtu mzima mwenye hekima zake nikamwuliza natafuta vyumba vya kupanga, akaniambia twende mwanangu mimi mwenyewe natafuta mpangaji, naona ni Mungu amekuleta ndio nikapata chumba na hifadhi Dar es salaam, kilikuwa chumba ki1 choo cha nje si unajua tena sinza palivyo, huyo mama alikuwa na nyumba kubwa mbele yetu sisi tukawa tunakaa kwa nyuma, tulikuwa wapangaji wa5, nikalipa kodi ya miezi 6, enzi hizo kodi alinifanyia elfu 40
Maisha yanaenda sina kitu zaidi ya nguo, najifungia tu ndani nikitoka nakula chips vibandani narudi kulala
Sikumoja Baba mwenye nyumba akaambiwa mimi naishi kwa kula chipsi vibandani akanichukua na mkewe wakaenda kuninunulia jiko la mchina na sufuria 3 na mwiko na mchele, mafuta, sukari, chumvi, maji ya kupikia, maji ya kunywa, viungo vya kupikia mboga, nyama, samaki, na mazagazaga yote ya upishi unayoyajua wewe ila hapo ni baada ya kuwaelezea nilipotoka na kuwa mimi ni yatima, wakanihurumia
Nikatafutiwa na kubarua cha u secretary kwa jamaa ya baba mwenye nyumba pale mwenge steshenari imagine graduate wa form 4 ... kweli usipokuwa na wazazi hata kama una degree hamna atakaekuangalia mara 2
Nikapiga mzigo mwenge steshenari, kwa muda wa miezi 3 naondoka asbh saa 12 narudi saa 2 usiku nalala sipiki nanunua msosi vibandani naingia kulala
Nikapiga kazi pale steshenari kwa muda wa miezi 6 nikaielewa dsm vizuri sana weekend j2 nazunguka mitaani makariakoo sijui wapi kote nazungushwa na majirani zangu mpaka nikauelewa mji wa dsm ulivyo kwa daladala
Baada ya miezi 8 majibu ya form 4 yakatoka, kwenye redio wakatangaza mwaka huu wamefanya vibaya sana kimatokeo nikajua na mie ndio baaas basi tena
Nikakaa mwezi mzima sijachungulia majibu, basi akaja baba m1 pale steshenari anataka kumwangalizia mwanae matokeo nikamfungulia akaangalia akafurahi mwanangu amefaulu jamani, mimi natamani kumwomba nashindwa
Akaja boss wangu pale anampa hongera, Boss akaniuliza wewe Doreen umeshacheki majibu yako, angalia sasa hivi mtandao naona hausumbui nikaingia kucheki matokeo roho yaniuma najua nimeshafeli, ile nafungua kudadeki nina div 1 ya mwisho nilifurahije sasa nikajua hapa sasa nitapata form six kama sio
Nikaamua kwenda kujiunga na chuo CBE diploma, nikapata masomo ya jioni nikapewa ruhusa na boss jioni naondoka saa 9 nanusu naenda kusoma diploma narudi home saa 4 usiku najisomea mpaka saa 6 kila siku nalala saa 6 kama sio saa 7, saa 12 nipo macho saa 1 asbh nipo mzigoni mwenge kwa muda wa miaka 2, nikafaulu vizuri sana sana sikuwahi kusapu! miaka miwili ya diploma
narudi home saa 4 usiku najisomea mpaka saa 6 kila siku nalala saa 6 kama sio saa 7, saa 12 nipo macho saa 1 asbh nipo mzigoni mwenge kwa muda wa miaka 2, nikafaulu vizuri sana sana sikuwahi kusapu! miaka miwili ya dimploma ikaisha, nilikuwa najisomesha kwa hela zangu na zingine mama mwenye nyumba ananisaidia kulipa kwa miaka 2 shule ikaisha, nimefaulu nikaona bora nije kujaribu bahati yangu kwa kusoma degree nione kama nitapata, nikaomba chuo IFM na UDSM na ST. Augustine maana niliskia mikopo inatolewa nikaenda kuomba kule Bodi ya Mikopo!
Kweli baada ya miezi 6 nikapata chuo Udsm kozi ya BCOM, nikaomba na hostel nikapata baada ya miezi 2 nikaanza chuo nikahama pale sinza, wale wenye nyumba walilia na majirani maana tumezoeana sio kitoto! wapangaji wenzangu hawataki niondoke wameshanipenda, mwenye nyumba akaamua kunihifadhia vitu vyangu vya jikoni ambavyo sikuweza kubeba hostel nikaondoka nimepata mkopo asilimia 100, nikapata nikaanza maisha yangu chuoni Udsm kwa upya
Mwaka wa kwanza nilikaa Mabibo hostel, kule ndio nilijua maisha ya mziki, tunatoka usiku tunaenda disco, maisha ya hostel za mabibo ni ya vituko, tunalala kitanda cha dabo deka, mwenzio analala juu na bwana wake wewe umelala chini unaskilizia wenzio wanapigana mechi na hamna kusema kwa mtu
Akyanani maisha ya mabibo yalikuwa ni nyokoo
Nikapataga kibwana kimoja cha kichaga nilipoenda disco, huyo bwana anaitwa kimaro mfanya biashara basi kila weekend tupo billcanas mara maisha club mara sijui wapi shule nikaona chungu nikajua lazima nita disco
Kimaro hakuwa mbahili alikuwa ananipa hela kila week na hivi alijua mimi ni yatima basi ana toa hela kama mchanga, ndio alikuwa mwanaume wangu wa kwanza, basi mapenzi kem kem.
Kila weekend kwangu ilikuwa kama cinderela movie, lazima nifatwe na Prado ijumaa kurudishwa j3 asbh darasani
Kila mtu alijua huyu bwana atanioa, mwaka wa kwanza ukaisha nikafaulu sana kuliko nilivyotegemea
Nikaenda mwaka wa 2, nikahama mabibo nikahamia Udsm hostel za ndani kule nipo tu na kimaro wangu
Watu wakajua kimaro kimaro ndio atanioa nyooo
Ile mwaka wa 2 nimeshapiga pepa zote nasubiria matokeo bado nakaa hostel za chuo maana sina pa kwenda nikamfanyia surprise kimaro nyumbani kwake kufika si namkuta anamkung'uta demu kitandani mwake, kha! Nilichoooka ghaflaa nguvu zikaniisha,
Nikawa nimeganda nawaangalia machozi yananitoka mpaka wanakuja kumaliza wanashangaa mtu ameanguka chini puuu
Kuja kuzinduka nipo hospital na kimaro pembeni!
Kimaro: oh ulizimia baby nimekuleta hospital pole sana, kama sikumbuki alichonifanyia nikajifanya fala ili alipe bili ya hospital na kunirudisha chuoni
Kufika hostel nikamwambia bro mimi na wewe basi tena,
Kimaro hakuamini alilia kama mwenda wa zimu, hakutaka tuachane kabisaa nikamfukuza akaondoka ila ndio kila siku simu sms simu sms,
Wakati naugulia maumivu na machungu wakaja watu wa supplimentary shuleni kusoma, nikawa nimekaa kwenye ngazi nalia najiona maisha ndio basi tena akaja bibie Eliza hapa anaenda kusoma kafeli anawahi diskashen
Akanikuta nalia akaanza kunibembeleza jaman usilie pole sana akasahau na kwenda discussion akanipeleka chumbani kwake ikabidi nilale pale
Asbh akaamka akaondoka amefunga chumba kaweka namba yake ya simu ... akarudi saa 5 asbh bado nimelala akaniamsha kwa fujo nikaamka si unajua kwa watu tena, nikamwelezea yalionikuta maskini anaskitika usijali wanaume ndio walivyo wewe hauwajui achana nae blah blah blah kibao mimi namwangalia kama mahindi ya kuchoma
Akanitengenezea chai, akanipa panadol nikanywa nikala nikarudi kulala yeye buzy na kusoma
Baada ya siku 3 namwuliza Eliza unasoma nini?!
Akaniambia amefeli, anasoma sijui somo gan ambao mimi nimepata A
Nikampiga pindi anashangaa mambo marahisi wakati discussion anaiona chungu... hapo ndio nikapata rafiki wa kwanza wa kike anaitwa Eliza... alipomaliza mitihani ya supplimentary tukaenda kuomba tukae chumba kimoja kwa matron akakubali akahamishiwa chumbani kwangu tukawa marafiki tangu siku hio mpaka sasa
Kabla ya shule kuanza tukawa tunazurura, Eliza enzi hizo ana kibwana chake kinampeenda mimi namwangalia tu namhurumia nikijua lazima atapigwa tu sikumoja asiingize miguu na mikono yote kwa huyo bwana
Eliza akawa hasikiii, bwana mwenyewe mpare na mimi wapare nawajua vitombi hatari Eliza kakolea sijui yule bwana kamwekea dawa hata sielewi
Kabla hatujafungua chuo bwana wa Eliza asinitake nisimrekodi video kwenye simu na kumtishia namwonyesha Eliza utumbo unaoniambia akaacha ujinga wake ila mimi nilijua Eliza kuna sehemu atatundikwa tu msalabani, ila kwa sasa ngoja afaulu kwanza sapu na amalize shule maana atajiua Msukuma kama mhehe akipenda hehe
Mimi nikakaa single kwa muda mpaka tunafungua chuo nikaja kupata bwana pale pale chuo lecturer ila anafundisha corse nyingine, nikawa natoka nae kisiri siri Eliza hajui wala nini, shule ikaanza na mambo ya field na project bado nipo na lecturer Eliza hajui wala nini, hata tunaachana na lecturer Eliza hajui
Nikaja kupata mume wa mtu, kanikuta tu mlimani city ananitaka nikamsikiliza mume wa mtu ananipa hela mpaka nikawa namhurumia mkewe kuja kufanya uchunguzi naambiwa yule bwana ana mawe hatari, yani pale mimi nile navyotakaaa ila kuna tetesi yule bwana ni positive
Eh kusikia positive nikampiga hela nikakimbia na hivi sina makazi maalum alinipata wapi labda?!
Haya Eliza inatosha, nirudi kwako na wewe kupenda kuhadithia ya watu, je umewaeleza akina Omana ulivyotendwa na kaka zake?!
Doreen: Miezi 3 iliopitaa, Eliza alikuja kwangu analia, oh bwana wangu wa kipare nimemfumania anatembea na yule demu chumba cha tatu pia anatembea na lecturer wetu yule kadada ah Eliza aliumiaje Manka?!
Hapa kapona ndio maana mnamwona hivi ndio anapona pona ivoo, Eliza hakuwahi kuwa muhuni, Uhuni kaanza juzi mbonaa, ni sheedah, niseme nisiseme Eliza? !
Eliza huyu mnamwona hapa alishasema mapenzi basi, Msukuma kasusaaa...sasa hivi analipiza kisasi na kulenga tu hataki ujinga
Basi akaja kumpata huyo bwana sijui kamtoa wapi kudadeki, anamsaidia kutafuta wanaume... yupo kama dalali flani, anaitwa dalali nani we Eliza? !
Wenzake wanacheka hawana mbavu hio dalali vepee! ?
Eliza amenunaje sasa siri imetoka, prostitute la kisukuma Umeona wapi Eliza wewe- akajisemea Manka
Doreen:
Mimie simhukumu najua mapenzi yanauma sana, hasa unapokuwa umependa mazima mazima kama bibie ila hili la kuuzwa na huyo dalali nani tena, ah nimekumbuka Dalali Michael...
Manka na Omana:
Michael? ! Huyu Michael maarufu?!
Doreen:
Huyo huyo mnaemjua
Manka na Omana:
My dia ondoka kwa huyo kaka kabla hayajawa mabaya my dia, utajipatia maukimwi huko sijui utawaambia nini wazazi wako
Eliza:
mniacheeeee!
Pain changed me
Manka na Omana:
Haya mama tumekuacha, wewe endelea tu na dalali Michael tutakuja kukuletea juice na misosi hospital na maua kaburini kwako.
Manka:
Sasa naelewa kwanini nilikukuta unaingia kwenye gari kali nilipokuja chuoni kwenu Udsm usiku ule, kumbe shoga ulikuwa unaenda kutoa huduma?!
Unaenda kazini!
Haya unalipwa bei gani sasa?!
Eliza:
Kwa usiku m1 dola 300
( hapo dola 1 inasoma 2000)
Manka:
Tobaaaaaaa yani unaenda kutumika kwa laki 6 ambayo wewe unapata kwenye boom?! makubwaaa!
Mimi nakwambia Eliza kama rafi yako uko mbele utakuja kuozaaa, ukidhani unakomoa wanaume kumbe unajikomoa mwenyeweee
Chiu itaisha hio utakaa kama wa bibi mzee, itafika kipindi watakulipa hata dola 5000 wakufanye kinyume na maumbile mambo ya sodoma na gomora utaweza wapi shoga yangu wewe msukuma tangu lini akageuzwa kinyume na maumbile, unatia aibu ujue!
Wengine watakupa hata mil 100 wakuharibu tu, wanaume hawana maana, ukija kwenye kuzaa itabidi ujifungue kwa kisu kama utataka kwa njia ya kawaida itabidi wakuwekee magozi kama waarabu maana kusukuma mtoto sio mchezo.
Lakini nyie mademu wa Udsm wajinga sana, na wewe Doreen
Na hao waarabu vepee?! Usikute na wewe unageuzwa kinyume na maumbile unajishaua tu hapa
Doreen : Kimyaaaa!
Omana:
Doreen mpenz, usimsikilize mchaga mshenzi tu huyu hana ishu, nyuma au mbele mwili ni wa kwako, embu niambie hawa waarabu unawapata wapi?!
Na wewe Eliza nipe namba ya dalali Michael nataka mteja mie naona umezubaa, mwili wangu utauzwa mil 10 kwenda mbele sitaki ujinga
Manka:
Oh my gooood! Nilijua tu bibie huyu wa kipare na njaa zake lazima arukie tenda ahahahahahaha, haki ya Mungu mimi nawaambia mtanikumbuka maneno yangu na kwenye upuuzi wenu msinishirikishe, vitu gani lakini mnafanya?!
We Doreen hata kama ni yatima lakini Mbona Mungu amekusaidia umefaulu umepata mkopo haujawahi kufeli darasani, kitu gani kinakufanya mkajiuze uze namna hii
Mbona hamna dignity kabisa?! Class ya kipare imeenda wapi labda?!
We Eliza kwenu si mna hela lakini?! Unajiuza kwasababu mwanaume amekuumiza?!
Get over it sio wa kwanza kuumizana, my gaaad!
embu mimi nirudi hostel naona mnaniboa tu hapa na ujinga wenu
Manka akainuka huyooo akaondoka zake kawaacha warembo wanashangaa