Hadi sasa mahandaki 130 yamefumuliwa na jeshi la Israel

Hapa huwaoni Hamas wa bongo watukanaji kina FaizaFoxy Alwaz (mtupu) n.k

Harakat Gaidi zinakomeshwa

Haleluya Msifuni Bwana wa Majeshi Jemedari Mkuu wa Vita Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Mungu Baba Yetu Mwema.
 
Reactions: K11

Hamas kapatikana. Alijua Israel hataingia Gaza. Sasa Kaingia na anampigia vibaya. Nadhani Kama Hamas atasalimika, hatarudia Tena huo ujinga. Na hata raia wa Gaza hawatakubali huo ujinga.
 
Wenyewe mmejionea suna haja ya kusema tenaπŸ˜‚
 
Inaoneka hako kamji kagaza kamejaa tu mahandaki na inaonekana shughuli kubwa ya hako kamji ilikuwa ni ugaidi. Kwahiyo Israel kwa anachofanya yupo sahihi na inatakiwa afanye zaidi.
si upuuzi mtupu kujenga mahandaki wakati unayemshambulia anajua umejificha huko. Mbona anakuja kuyabomoa kirahisi kwa kuwa anajua yaliko. Akili zingine za ajabu sana ni sawa na kujificha kwenye shamba la karanga ukidhani umejificha kwenye msitu mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…