sawa hata kama ni hivyo lakini dhana itaendelea kubaki ile ile, whether you agree or not!
Hongera kwa kuwa na umri mkubwa, Je, ukikumbukia historia yako ya kimapenzi haikukumbushi chochote? na huyo uliyezeeka naye ni alfa na omega? kama ni hivyo hongera zako!kaka mie nina miaka sitini hata kuchakachua siku hizi kwa mashaka sasa unaposema nikihisi nimemchoka nitataka mwingine unanichanginyi kidogo
Hongera kwa kuwa na umri mkubwa, Je, ukikumbukia historia yako ya kimapenzi haikukumbushi chochote? na huyo uliyezeeka naye ni alfa na omega? kama ni hivyo hongera zako!
Kutoka kwenye hizo statements mbili basi hakuna aliyedanganya cause at the time ulikuwa umependa na haukujua yatakayotokea kesho.... Therefore at that instant a lie was not committed.Mapenzi ni kitu kisichodumu kwa muda mrefu
Swali la kujiuliza: mpaka leo umedanganya wangapi?
Tatizo sio umri, tatizo ni politics zilizopo kwenye mchakato mzima kabla na baada ya kumpata mwenza wako! kuna visababishi vinavyofanya penzi lichuje na kubaki sifuri kabisa. Ndo maana nasimamia ya kwamba hakuna mapenzi ya kweli chini ya jua, tunajidanganya kwa ndoa kutokana na sababu za kiusalama zaidi ( security reasons)kaka tatizo nyie vijana wa kileo mnamatatizo sana enzi zetu mpaka natimiza miaka ishirini na tano ya kuoa sikuwa namjua mwanamke sema tu hapa katikati nilijichanganya kidogo.....lakini niliye naye ndo huyo niliyeanza nae ule mwaka wa sitini na tano
Mapenzi ni kitu kisichodumu kwa muda mrefu ( do not last longer or is something temporary). Na ndo maana leo hii upo na uliyenaye, na kujihisi ndo umefika. Baada ya muda utapata mwingine na utamsahau kabisa huyu uliyenaye sasa, ambaye unahisi bila yeye dunia haikaliki.
Kumbuka umewadanganya wangapi hadi sasa kwa kuwatamkia maneno kama vile honey, sweetie, my love, babes, nikinywa maji nakuona, sipati usingizi bila wewe, ukiniacha nitajiua n.k lakini leo yako wapi?
Ndo ujue ya kwamba mapenzi ni politics zinazokaribiana na ukweli. Licha ya kwamba binadamu anahitaji kupenda na pia kupendwa tusijisahau sana wajameni.
Swali la kujiuliza: mpaka leo umedanganya wangapi?
kaka mie nina miaka sitini hata kuchakachua siku hizi kwa mashaka sasa unaposema nikihisi nimemchoka nitataka mwingine unanichanginyi kidogo
Wewe umedanganywa na wangapi? Mimi nimewadanganya woote walionidanganya.....!Mapenzi ni kitu kisichodumu kwa muda mrefu ( do not last longer or is something temporary). Na ndo maana leo hii upo na uliyenaye, na kujihisi ndo umefika. Baada ya muda utapata mwingine na utamsahau kabisa huyu uliyenaye sasa, ambaye unahisi bila yeye dunia haikaliki.