Hadi kifo sitawai oa wala kuwa na mchumba

Demu wangu kanisingizia nilikuwa nataka kum'baka.nimekamatwa nimepigwa na polisi bahat niliekewa mdhamana nikatoka kwa laki 8 pesa taslm.

Ilianza hivi demu nilimuita aje gheto baada ya kuja kageuka kumbe demu huyu ana mshikaji wake ambaye walipanga kuniseti ivo. demu kaanza kupiga ukunga ghafla bin vuh nikavamiwa.bahati polisi walikuja raia wangeniua. nikakamatwa nikapelekwa sero mateso niliyopitia.kamwe siwez penda wala kuoa mpaka kifo.
Nature mkuu. Huwezi kushindana na asili ndugu yangu. Hizo kwa sasa ni hasira.
 
huyu anaonekana vingi ameficha kuviweka wazi... it's not possible at all kwa mazingira yake. na nyie hamuwapagi code vijana kuwa hata iwe jua au mvua, ni marufuku kwenda anapoishi binti?
Jamaa amesema demu ndo ameenda kwa jamaa.
Yn kwa mazingira hy haiwezi kuwa kesi ya ubakaji, labda anaficha jambo
 
Demu wangu kanisingizia nilikuwa nataka kum'baka.nimekamatwa nimepigwa na polisi bahat niliekewa mdhamana nikatoka kwa laki 8 pesa taslm.

Ilianza hivi demu nilimuita aje gheto baada ya kuja kageuka kumbe demu huyu ana mshikaji wake ambaye walipanga kuniseti ivo. demu kaanza kupiga ukunga ghafla bin vuh nikavamiwa.bahati polisi walikuja raia wangeniua. nikakamatwa nikapelekwa sero mateso niliyopitia.kamwe siwez penda wala kuoa mpaka kifo.
Pole mkuu😂
 
Umekosea ulitakiwa umuitie mwiziii, si yeye alikuja kwako?
Ila hapa unatupanga mzee
 
Demu wangu kanisingizia nilikuwa nataka kum'baka.nimekamatwa nimepigwa na polisi bahat niliekewa mdhamana nikatoka kwa laki 8 pesa taslm.

Ilianza hivi demu nilimuita aje gheto baada ya kuja kageuka kumbe demu huyu ana mshikaji wake ambaye walipanga kuniseti ivo. demu kaanza kupiga ukunga ghafla bin vuh nikavamiwa.bahati polisi walikuja raia wangeniua. nikakamatwa nikapelekwa sero mateso niliyopitia.kamwe siwez penda wala kuoa mpaka kifo.
Labda ukate Dudu baya
 
Haya mambo inabd kuchunguza sana kabla hujapendana na mtu mm nilipata mwanamke yaan hatuna hata mwezi mmoja tayari anataka kunipasulia glasi mara ananikaba bora uchukue muda kumchunguza mtu
 
Demu wangu kanisingizia nilikuwa nataka kum'baka.nimekamatwa nimepigwa na polisi bahat niliekewa mdhamana nikatoka kwa laki 8 pesa taslm.

Ilianza hivi demu nilimuita aje gheto baada ya kuja kageuka kumbe demu huyu ana mshikaji wake ambaye walipanga kuniseti ivo. demu kaanza kupiga ukunga ghafla bin vuh nikavamiwa.bahati polisi walikuja raia wangeniua. nikakamatwa nikapelekwa sero mateso niliyopitia.kamwe siwez penda wala kuoa mpaka kifo.
Tatizo la msimuliaji!

Scenario bab kubwa halafu unaitolea nerrative ya kubana maneno!

Kwa nini usisimulie mkanda mzima ili kama kushea tushee!
 
Demu wangu kanisingizia nilikuwa nataka kum'baka.nimekamatwa nimepigwa na polisi bahat niliekewa mdhamana nikatoka kwa laki 8 pesa taslm.

Ilianza hivi demu nilimuita aje gheto baada ya kuja kageuka kumbe demu huyu ana mshikaji wake ambaye walipanga kuniseti ivo. demu kaanza kupiga ukunga ghafla bin vuh nikavamiwa.bahati polisi walikuja raia wangeniua. nikakamatwa nikapelekwa sero mateso niliyopitia.kamwe siwez penda wala kuoa mpaka kifo.
Kwa kutekeleza hayo maazimio yako hapo utakuwa umefanikisha mchongo wa huyo demu.
Nia yake ni kukuona bila make.
Haya,endelea kujichukulia sheria mkononi tuone unamkomoa nani!
 
Demu wangu kanisingizia nilikuwa nataka kum'baka.nimekamatwa nimepigwa na polisi bahat niliekewa mdhamana nikatoka kwa laki 8 pesa taslm.

Ilianza hivi demu nilimuita aje gheto baada ya kuja kageuka kumbe demu huyu ana mshikaji wake ambaye walipanga kuniseti ivo. demu kaanza kupiga ukunga ghafla bin vuh nikavamiwa.bahati polisi walikuja raia wangeniua. nikakamatwa nikapelekwa sero mateso niliyopitia.kamwe siwez penda wala kuoa mpaka kifo.
Itasahau maumivu ya kipigo ila sio tamu ya utelezi...
 
Back
Top Bottom