Hadi kifo sitawai oa wala kuwa na mchumba

Demu wangu kanisingizia nilikuwa nataka kum'baka.nimekamatwa nimepigwa na polisi bahat niliekewa mdhamana nikatoka kwa laki 8 pesa taslm.

Ilianza hivi demu nilimuita aje gheto baada ya kuja kageuka kumbe demu huyu ana mshikaji wake ambaye walipanga kuniseti ivo. demu kaanza kupiga ukunga ghafla bin vuh nikavamiwa.bahati polisi walikuja raia wangeniua. nikakamatwa nikapelekwa sero mateso niliyopitia.kamwe siwez penda wala kuoa mpaka kifo.
ulikuwa mshamba, hukuwa smart jifunze kwa vijana kama Robert Heriel Mtibeli.. pia, tumesikia upande mmoja so hatuwezi kutoa hukumu timilifu.
 
Mkuu nisha leta kisa kama hiki hapa, ilikua hivi demu alinikera nikamfata getoo kwao tukajibizana nikamshushia makofi, akapiga kelele wee hiyo kesi mama yake ndio alini kaushia tu ilikua nzito nilitaka kupewa kesi ya ubakaji mkuu acha tu nilimzingia demu baaday a hapo nika mwambia ulikua unataka kunifunga heeee, akaniomba msamaha mkuu si kitoto
mavijana mafala kama wewe huwa hayatakiwi kuonewa huruma.. hivi ulikuwa hujui kuwa kwa usalama wako ni wmiko kwenda kwa demu?? unajua kuwa yeye anatakiwa akufuate wewe?? kijana fala kabisa wewe, yaani umefuata KWAKE na unaanza kumpiga??? wewe hata wangekulawiti huki selo nadhani ulistahili.. mshamba kabisa
 
Mfungulie mashtaka huyo demu,hata usiposhinda utamkomesha kisaikolojia na kitendo cha kuitwa police na mahakamani kwenye kesi anaweza kujichanganya akasema kila kitu,usimwachie kama unaamini was a set up utasaidia wengi na kukomesha hawa wahuni
exactly
 
Mkuu elezea full story vizuri usipunguze maelezo HAWAJAKULAWITI KWELI WALE MAPOLISI?
 
Demu wangu kanisingizia nilikuwa nataka kum'baka.nimekamatwa nimepigwa na polisi bahat niliekewa mdhamana nikatoka kwa laki 8 pesa taslm.

Ilianza hivi demu nilimuita aje gheto baada ya kuja kageuka kumbe demu huyu ana mshikaji wake ambaye walipanga kuniseti ivo. demu kaanza kupiga ukunga ghafla bin vuh nikavamiwa.bahati polisi walikuja raia wangeniua. nikakamatwa nikapelekwa sero mateso niliyopitia.kamwe siwez penda wala kuoa mpaka kifo.
Uolewe kama hutaki kuoa
 
mavijana mafala kama wewe huwa hayatakiwi kuonewa huruma.. hivi ulikuwa hujui kuwa kwa usalama wako ni wmiko kwenda kwa demu?? unajua kuwa yeye anatakiwa akufuate wewe?? kijana fala kabisa wewe, yaani umefuata KWAKE na unaanza kumpiga??? wewe hata wangekulawiti huki selo nadhani ulistahili.. mshamba kabisa
We mzeee wewe una mambo ya kizamani sana sa mambo ya kulawitiwa yameingiaje hapa
 
Back
Top Bottom