Hadi kifo sitawai oa wala kuwa na mchumba

Hao polisi na raia ni 18- ?...Mtu anakujaje kwako chumbani halafu umbake! kwenye maelezo alisema kaja kufanya nini, ni ndugu yako? ni mwenye nyumba kaja kudai kodi ama anauza vyakula?
 
Demu wangu kanisingizia nilikuwa nataka kum'baka.nimekamatwa nimepigwa na polisi bahat niliekewa mdhamana nikatoka kwa laki 8 pesa taslm.

Ilianza hivi demu nilimuita aje gheto baada ya kuja kageuka kumbe demu huyu ana mshikaji wake ambaye walipanga kuniseti ivo. demu kaanza kupiga ukunga ghafla bin vuh nikavamiwa.bahati polisi walikuja raia wangeniua. nikakamatwa nikapelekwa sero mateso niliyopitia.kamwe siwez penda wala kuoa mpaka kifo.
If it was for real basi huyo mwanamke ni wa kukaa naye mita 100.
 
Mfungulie mashtaka huyo demu,hata usiposhinda utamkomesha kisaikolojia na kitendo cha kuitwa police na mahakamani kwenye kesi anaweza kujichanganya akasema kila kitu,usimwachie kama unaamini was a set up utasaidia wengi na kukomesha hawa wahuni
NAUNGA MKONO HOJA HII
 
Haya mambo inabd kuchunguza sana kabla hujapendana na mtu mm nilipata mwanamke yaan hatuna hata mwezi mmoja tayari anataka kunipasulia glasi mara ananikaba bora uchukue muda kumchunguza mtu
Hebu nipe no zake nichukue somo aisee!😆
 
Mimi naamini hii ni chai...

Huwezi kamatwa kwa kosa la kubaka kwa mwanamke zaidi ya miaka 18, aliyekuja nyumbani kwako...

Dawati la jamii lilipaswa kumaliza hiyo kesi kama ni tukio la kweli...
 
Demu wangu kanisingizia nilikuwa nataka kum'baka.nimekamatwa nimepigwa na polisi bahat niliekewa mdhamana nikatoka kwa laki 8 pesa taslm.

Ilianza hivi demu nilimuita aje gheto baada ya kuja kageuka kumbe demu huyu ana mshikaji wake ambaye walipanga kuniseti ivo. demu kaanza kupiga ukunga ghafla bin vuh nikavamiwa.bahati polisi walikuja raia wangeniua. nikakamatwa nikapelekwa sero mateso niliyopitia.kamwe siwez penda wala kuoa mpaka kifo.
Na bado
 
Pole mkuu
Uzuri Mungu anaona atakuja kujutia sana
 
Back
Top Bottom