Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
hahahaaaaaaaaaaa,hatari sana hii hapo mmoja kakongomeka kiroba na mwingine kapigilia kitu cha rchuga
hahahahaahhahahaha!!!
nachuna brekiii huyo hadi naakikisha yupo chini
Anampango mbaya naye ili asiweze kukuna nazi daaaaaDuh, hapo umedhamiria kumvunja kiuno...
Sasa sijui akianguka atasema ajali kazini? au kajitakia tu na mbwembwe zake hizo mi ndo ningekuwa dreva nashitua kidogo kuondoka.
Hiyo picha ni afisa wa usalama barabarani ckumbuki ni wa nchi gani alimsimamisha dereva wa basi, dereva alikaidi kusimama ndipo askari huyo alipo amua kurukia gari kwa mbeele huku likiwa katika mwendo kassi.
sasa hapo anachungulia nini?
Anachungulia kama wamesimamisha abiria kwenye hilo bac!
duh, hapo umedhamiria kumvunja kiuno...
yaani nipo room pekeangu hapa nacheka kama mwehu yan kwakwalwakwakwa
hii picha inanichekesha hukuuuuu duh..