Hackintosh OSX ndani ya PC

Ni Torrent file, unalifungua na torrent client kama transmission au utorrent au bitorrent.

Tunaanzia mbali kidogo ni mgeni kabisaaa,baada ya ku download hako ka zip file unakafanyaje???

Samahani kwa usumbufu.
 
Tunaanzia mbali kidogo ni mgeni kabisaaa,baada ya ku download hako ka zip file unakafanyaje???

Samahani kwa usumbufu.
Kabla hujaanzia mbali, angalia kwanza kama mashine yako ina sifa za kufanya unachotaka kufanya usijeshusha mizigo kumbe computer yako haikidhi vigezo.
 
Kabla hujaanza mbali, angalia kwanza kama mashine yako ina sifa za kufanya unachotaka kufanya usijeshusha mizigo kumbe computer yako haikidhi vigezo.

Ni surface pro 4 mkuu,vip haitoshi mboga??au mpka desktop pekee??
 
Sijui hata mnaongea nini wazee..
Hebu naombeni key za ku activate window 10 yangu naona muda umeisha inanipa warning kila siku...
 
Unatakiwa uwe na bando la kutosha kudownload hiyo osx kama 5.2GB

Tayari mkuu nimeshapigwa bundle kama la buku 6 hivi nimeshusha mzigo.

Na nimeeenda mpka hapo screenshot imeishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…