Hacking

Hacking

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
Hello JF wataalamu!
Naomba kuelezewa kadri unavyofahamu kuhusu HACKING kwakuzingatia moja ya guidelines hizi hapa chini
-Maana
-How to hack
naomba kuwasilisha
 
Hello JF wataalamu!
Naomba kuelezewa kadri unavyofahamu kuhusu HACKING kwakuzingatia moja ya guidelines hizi hapa chini
-Maana
-How to hack
naomba kuwasilisha
Ninachojua watu watakuja kukueleza maana ya hacking tu, lakini sitegemei waje kukueleza how to hack, unless wakueleza algorithms za kuhack, sababu how to hack it depend on what are going to hack, na aina za kuhack zipo nyingi kulingana na kitu unachokifanyia hacking eidha kama kipo locally au remote. Hapa mi sijakueleza maana ya kuhack wala how to hack, haya ni mawazo yangu ila kama nipo wrong wadau watakuja kunisahihisha na kueleza zaidi
 
Criminal mind always thing how to break through the legal systems and here you are asking one of the
resent crime the cyber rime which deals with hacking different systems and commit there crime think twice.
 
najua wa2 wengi wakisikia neno hacker au haking huwa wanajiuliza lakini swali lako la kwanza
(meaning)
hacking it is non convinsional way of interacting of system

ninaposema non convinsional way namaanisha when operation system is created the designers of this os figure out how want you to interact with that computer. so if you double click, right click or run command this is convinsional way they want you to interact to computer
 
A non convinsional way of interacting with computer is by trying to interact with the system in the way that designers did not intend for you to interact with that system

Mfano ni kwamba unataka kufungua microsoft word to convinsional way is to boot up operation system you know have window log in and double click on file and open microsoft word so this is the convinsional way of access the file
 
A non convinsional way of access in that file is booting the computer of the linex live cd so the operating system is in the linex live cd then going in to the computer and access the documents using linex live cd operating system and that is important for hacker because if you boot the computer of the windows operating system, the windows operating system has security and has permisions so if you boot of window operation system you have not have permisions to see that file so when you go to open up the fil
 
windows will tell you that you not have permision to view that file but if you boot system with linex live cd those security paramiters are not understood by the linex live cd so if you have not supposed to access that file or folder you can click and display because linex live cd does not view and does not care about the permisions so that is all hacking is, is how to get in that system or network by not using normal way. nathani umenielewa pia naomba unisamehe kuandika kwa vipengele kwasababu natumia phon
 
Hello JF wataalamu!
Naomba kuelezewa kadri unavyofahamu kuhusu HACKING kwakuzingatia moja ya guidelines hizi hapa chini
-Maana
-How to hack
naomba kuwasilisha

Hacking ni kitendo cha kuingilia mfumo wa mawasiliano au computer bila ridhaa ya wamiliki

Mara nyingi hacking huwezekana kupitia weakness za system

How to hack
Itategemea aina ya hack unayohitaji kisha ujifunze

Ili kuwa good hacker lazima ujifunze programming languages maalum za hacking na networking

Pia unaweza kuwa hacker kwa kutumia program zilizotengenezwa na wengine

Unaweza kutumia tutorials mbalimbali kujua simple tips and tricks za kubypass and compromising the system
 
Back
Top Bottom