Dah kama umeniwahi mkuu core player ni safi sana yaani ni universal ka vlc nimeitumia cju nyingi sana yaani unahamisha movie kwenye pc kama ilivo bila kuconvert wala nini na inaplay with 23 fps mwsnzi hadi mwisho ni nzur kwa kweli.
Aksante sana mtaalam ila na wewe unawapa thanks zao huko unakotoa maujuzi????????? inaonekana unapenda thanks ila wewe ni mchoyo wa hizo thanks. Au mwalimu hatakiwi kutoa thanks kwa mwanafunzi
We endelea kushusha mambo bila kukata tamaa wengine hatupendi kuwasifia watu japo tunaona kazi wanayofanya inastahili pongezi.
dah kama umeniwahi mkuu core player ni safi sana yaani ni universal ka vlc nimeitumia cju nyingi sana yaani unahamisha movie kwenye pc kama ilivo bila kuconvert wala nini na inaplay with 23 fps mwsnzi hadi mwisho ni nzur kwa kweli.
Ni kweli bro ila KILA MUDA UNAPATA NEW SOFTWARE INABIDI UANZA KUI SIGN HALAFU NDIO UIINSTALL..
ILA KWA NINI? BADO HUJAWAA HURU...UHURU NI KUINSIGN HELOOX MARA MOJA HALAFU BAADA YA HAPO WEWE UNA INSTALL SOFTWARE YOYOTE ILE BILA TAABU...FULL FREEDOM NOT HALF FREEDOM
aksante sana mtaalam ila na wewe unawapa thanks zao huko unakotoa maujuzi????????? Inaonekana unapenda thanks ila wewe ni mchoyo wa hizo thanks. Au mwalimu hatakiwi kutoa thanks kwa mwanafunzi
we endelea kushusha mambo bila kukata tamaa wengine hatupendi kuwasifia watu japo tunaona kazi wanayofanya inastahili pongezi.