Hii ndo TZ, wakati North Korea wataalamu wao wanafikilia kuidukua SK,US na baadhi ya makampuni UK, wataalamu wetu wanaanza kuidukua nchi yao ha ha haaa!! uzalendo wako uko wapi kwa nchi yako!!!!

Safi sana. Unajua hawa vijana ni kama watengeneza software za computer wanatengeneza Virus na hao hao wanatengeneza Anti- virus. Maisha yanaenda sawia.