Mkuu@Srebrina vipi kuhusu kuhack JF?
Dah,hilo slang lako linanipaga burudani sana.Yaani kama utani vile,lkn ujumbe unafika.Umesema mother(nini vile!)?!
Mkuu@Srebrina vipi kuhusu kuhack JF?
nenda kawaulize alichokifanya dracula ktk tcu website mwaka jana na hakukuwepo response huyu jamaa ni noma 1st year wa mwaka huu walio vyuon wana mjua
UKIFANYA KI2 EXTRA ORDINARY WATAKUKAMATA LKN BAADAE WATAKUAJILI VINGINEVYO WATAENDELEA KUUMIZWA
Mkuu@Srebrina vipi kuhusu kuhack JF?
Kuhack JF tena? Ww Maxence Melo atakushushusha busha eti. Ohooo!!! Shaurilo
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
wakuu,HTML kuweni makini mkipewa kazi za kutengeneza website yasije kuwatokea yaliyo mtokea IT wa huyu msanii
ANGALIA UONE HackeD By Dr@cul@
ENDELEA KUSOMA