aahh??!! bana, hilo dogo mbona.
huyu inaelekea mtakuwa mnaelewana huyu. muwinde siku yupo kef, mnunulie juisi ya ukwaju. hawezi kataa. akitoka kwenda kukojoa tu, hapohapo--ingia kwene komputa yake, futa meseji. hiyo imekaaje...
deactivate account yako ya facebook