hachomoki hapa

hachomoki hapa

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
575146_430058947108871_1331269553_n.jpg
 
Huyu wa nyuma akigeuka fasta hawampati
 
Polisi wa bongo ni zaidi ya binadamu hawana tabu kufikiri namna ya kumdhibiti mtu wakiona unawazidi wanakuchapa risasi tena sio mguuni lazima wakutandike ya kichwa ili wasihangaike kwenda kukaa na wewe Hospitali.
 
ha ha ha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom